Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefunga had play store ili usiweze kupakua app ya VPNPlay store kunanini kimetokea wakuu?
Ujima huu,Mwaka 2015 ilizimwa pia mkuu
Unataka kusema wapo sahihi kuzima?Mwaka 2015 ilizimwa pia mkuu
Nimeamka asubuhi Twitter haipo. Saa hizi hata Facebook taabu tupu.Mtandao gani unaotaka wakat unapayukia hapa hapa.. Subiri tupo na maandalizi ya kumuapisha Magu na pia kutangaza msiba wa Mama wa kiongozi wetu
Maana yake ni kufunga mitandao.Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Ww acha ukajanjanja na kesho tunaenda watokaMtandao gani unaotaka wakat unapayukia hapa hapa.. Subiri tupo na maandalizi ya kumuapisha Magu na pia kutangaza msiba wa Mama wa kiongozi wetu
Mbinu za madikteka wengi Duniani, kunyinya mitandao wakati wa chaguzi wanazodai ni HURU na zinazosimamia HAKI. wakati wanaminya haki ya kuwasiliana na kupata habari.Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Hata tukipiga kura haitasaidia. Tayari mikakati yao imeshapangwaKwa umoja wetu twendeni kesho tukapige kura za hasira ili tuweze kumuadamisha huyu Meko !! Hii too much sasa!!
Nimejifunza kwamba nchi hii, pamoja na kejeli nyingiii kwamba watu wa mitandaoni ni wa kufikirika, si wapiga kura, sijui wanaishi maisha feki, lakini kwa kweli mitandao inaogopwa jamani, yaani imetungiwa masheria kibao lakini bado imebidi malaika ashushwe kuifunga...Uoga, udhaifu kutojiamini
KabisaNchi zote duniani watu wenye akili timamu uwa wanawalinda raia wao
Watu wa siasa awazidi hata million 5
Wachochezi katika siasa awazidi hata 100
Athari ya mitandao ya kijamii hasa twitter, facebook, na social media zingine ni kubwq mno hasa kipindi hiki cha uchaguzi
Kuna watu ni machizi lakini wanatumia hii mitandao
Taarifa wala azijathibitishwa tayari machizi wameshazisambaza social media wakidhani ni sifa kumbe wanaliingiza taifa katika machafuko yasiyo ya lazima
Kwangu mm ni sawa tu TCRA Piga Ban kila kwenye viashiria vya kuvunja Aman
Sio kila mtanzania ni mwana siasa.
Itakuwa imedhibitiwa ili watu wasiweze kupakua VPN....Play store kunanini kimetokea wakuu?