Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Alafu tukisema Magufuli hafai kuwa Rais watu wanasema tuna chuki naye. Haya sasa mmeyaona mwenyewe. Nawaambia watanzania kesho tukapigeni kura kwa wingi kumuondoa huyu fedhuli madarakani na tuzilinde kura zetu kwa nguvu zoteNajaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia mtandao wa Tigo
Yaani baby niliwaza sana why wanafanya hivi?..nikaona nizunguke kidogo labda nitakuona na kweli nikakuona na moyo wangu ukatulia. Nakupenda sana kipenzi, take care.Kuna muda nilishangaa mdomo wangu unatoa matusi bila kutarajia. Nimepanga kukutana na hubby sehemu, nimefika hiyo sehemu simu hazitoki. Na yeye ananitafuta sipatikani. Bahati nzuri alikua anazunguka zunguka akaniona.
Yan huu upuuzi wa kuzimiana mitandao ni wa kishamba sana. 2020 tunazimiana mitandao kweli watu wengine biashara zinategemea mitandao watakula mawe. Jiwe et al. ni wehu sana
Ili kuficha aibu ya kutetea ushetani mnalalazimika kulalamika kimoyomoyoNimetest ni kweli in load tu labda itakuwa kwa baadhi ya watu maana Kuna muda watu walikuwa wakilalama mitandao haifanyi kazi Ila wakati mimi nilikuwa napeta.. so i think kutakuwa na katatizo ka mtandao
Huyu ndie ana waambia mkimpa ridhaa ya tano tena ata kuwa mtiifu. Leo hamja piga kura ana wazimia mitndao mliyo lipia pesa kupata taarifa.Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Ni kwako tu nahisiNajaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia mtandao wa Tigo
Mitano kwanzaHuyu ndie ana waambia mkimpa ridhaa ya tano tena ata kuwa mtiifu. Leo hamja piga kura ana wazimia mitndao mliyo lipia pesa kupata taarifa.
Akili kichwani.. Keaho mpe kura atakae toa haki.
Msiba tena?Mtandao gani unaotaka wakat unapayukia hapa hapa.. Subiri tupo na maandalizi ya kumuapisha Magu na pia kutangaza msiba wa Mama wa kiongozi wetu
Ilizimwa au kulikuwa na shida ya network!?Mwaka 2015 ilizimwa pia mkuu