Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Nadhani kwa state ya vyombo vya habari vya mitandaoni tuliyonayo kwa sasa... Its only logical to shut everything kuondoa sintofahamu inayoweza kuletwa na "Bad Reporting; we have come to be acostomed to"

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mtandao gani unaotaka wakat unapayukia hapa hapa.. Subiri tupo na maandalizi ya kumuapisha Magu na pia kutangaza msiba wa Mama wa kiongozi wetu
Nimeamka asubuhi Twitter haipo. Saa hizi hata Facebook taabu tupu.
 
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Maana yake ni kufunga mitandao.
 
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Mbinu za madikteka wengi Duniani, kunyinya mitandao wakati wa chaguzi wanazodai ni HURU na zinazosimamia HAKI. wakati wanaminya haki ya kuwasiliana na kupata habari.
 
Kabisa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Maana yake wewe ukitekwa tusiweze kusambaza taarifa.
Ukiuawa kusiwe na mnyororo wa taarifa kusambaa
Ukiibiwa kura yako usiweze kupaza sauti kwa dunia ya tatu ambayo kimsingi ndio nguzo ya ustaarabu
Ukibambikiziwa kesi kusiwe na wasemaji wa kukutetea mitandaoni

Yaani kiujumla wanataka usipate taarifa za kweli bali uishi ikiogelea kwenye wimbi la uongo wa lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…