Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Haya, sio Mara ya kwanza 2015 JF ilishambuliwa sana na wakafanikiwa kwa muda kuiondosha hewani.
 
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Tukisema magufuli hafai kuwa Raisi msidhani kuwa tuna chuki nae bali tunasema ukweli na tunamaanisha kweli. Huyu mtu ni kweli hafai kabisa sio tu kuwa Raisi bali hata diwani tu. Huyu mtu ni fedhuli na dikteta wa kiwango cha juu kabisa na hana ubinadamu kabisa.

Wito wangu kwa watanzania, Leo tu mmeona udhalimu wa huyu jamaa kwa kuzima mitandao, huu ni uthibitisho kuwa kesho tukapige kura kwa wingi na tuzilinde kura zetu kweli kuhakikisha huyu fedhuli harudi tena madarakani
 
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
YouTube na Facebook hazifanyi kazi vizuri
 
Sasa haya mawazo yako ungeyaandikia wapi, kama na JF ikizimwa. Nyie CCM hamnaga akili.
 
Huu ujinga wako ungeuandikia wapi, kama na JF kama na Jf ingefanikiwa kuzimwa?. Nyie ccm hamnaga akili, mnawaza teuzi.
 
Tuko kwenye uchaguzi, ni kawaida kufanya hivyo. Huchelewi kuona Account za NEC zikidukuliwa na Membe kutangazwa mshindi wa kiti cha uRais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…