Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Poleni Ndugu zetu watanzania..Naona mkoloni mweusi amebana kila kona.Ila ipo siku yao tu.Sie tuliokua nje ya Tz tunaona kila kitu live bila chenga.Nawatakia uchaguzi mwema.
 
maana yake ni kwamba mtu mmoja aliyepigwa risasi 16

...ndiye anayemiliki mitandao hiyo Whatsup,Twitter,Youtube,Instagram hadi Telegram

na kesho mkamchague muwe Huru
 

Marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aliiambia chama chake hawakumsikiliza! Jini!
 
Mitandao ipo vizuri tuu acheni uzushi...comments zenu mnazitumaje humu jukwaani?

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nahapo upinzani imezuiliwa kwa miaka 5, watu wamepigwa risasi, watu wametekwa lkn bado wanayotenda yote hayo wanahofu na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…