Naomba boss
Play store haifanyi kazi, unadanload vipi hio VPN.?.
Shukrani, na mimi itanifaa hiiUFO VPN Basic APK for Android Download
UFO VPN Basic 3.5.0 APK download for Android. Super private & unlimited fast VPN for Android. Go online fast and safely.m.apkpure.com
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Uchaguzi wa mwaka huu si mchezo, tl kweli ametikisa kuliko hata ilivyodhaniwa.Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Nitashangaa ukimchagua mtesi wakoYani biashara zangu za mitandaoni nauza viatu na nguo ili mteja apende nguo lzm nitumie WhatsApp kumtumia picha akiipe da tunafanya biashara
Sasa leo nimechukua mzigo wa kutosha aisee kwani picha zinaenda sasa ? Yani biashara zangu zinakwama kisa siasa?
Kwahio tutalala njaa kisa uchaguzi
Haya wabarikiwe
Maana Ake Mwende Barabara mdundwe na kupewa kipigo kitakatifu bila hao mabeberu Manowategemea kufungua Mabakuli yaoNajiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
[emoji769]Shambulizi kutoka kwa Waisraeli wa Mwananyamala Kwa Mama zakariaNa jf vipi, si ajabu tukasikia imepata shambulizi la ghafla...
Mkuu, unahangaika na huyo CD!Unadhan huyo mkurugenzi kapata maagizo toka kwa nani?.. Think big
Kama unajiuliza hupati jibu acha kuumiza alili yako ndogo mkuu. Jiulize maswali saizi ya akili yakoNajiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Umeamua kuzungumza Kiswahili cha Kimagufuli huogopi jela wewe? Hahahaaa.Seli-kali ya laisi wa wanyonge imetoa kali ya kalne
Muda mwingine uwe makini kwanza kwa kuchunguza mkuu. Nimeamini leo kwako,kumbe Unaweza ukapoteza ulichojijengea sec moja tu kwa usemi mmoja tu kama “mnapenda attention”.Bwana wee naombeni radhi kama wamenisikia vile.. YouTube is down, Twitter is down WhatsApp huwezi kutuma picha au attachment. Samahanini.. Watuachie JF tuView attachment 1613804View attachment 1613805
Pole sana kaka, hii imeni huzunisha sana.Yani biashara zangu za mitandaoni nauza viatu na nguo ili mteja apende nguo lzm nitumie WhatsApp kumtumia picha akiipe da tunafanya biashara
Sasa leo nimechukua mzigo wa kutosha aisee kwani picha zinaenda sasa ? Yani biashara zangu zinakwama kisa siasa?
Kwahio tutalala njaa kisa uchaguzi
Haya wabarikiwe