Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Kuna bibi kaezeka nyumba yake na mabango ya njano....

Naisi ni sir ngoma kama sio madam ngoma ila....

Ivi iyo ela imetoka wapi?? Mbona mimi nilikimbia vyuo vya bongo maana kuprint graph ya rangi kweny assigment ilikua ghali?

Kodi zetu wenyewe....wanajisifia nazo kwenye kampeni zao?#

Wanatakiwa waseme nilikusanya mshahara wangu mwaka kununua ndege au kujenga daraja sio kutupa takwimu za kodi zetu
 
Kama Jiwe na CCM unakubalika sana ni nini hasa wanacho ogopa?
 
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?

Mitandao iliyozimwa ni ipi? Certainly, JF haijazimwa na ndiyo maana umeweza kurusha hii fantasy yako. Bado ninaweza kutumia WhatsApp na platforms zingine kama kawa!
 
Yani biashara zangu za mitandaoni nauza viatu na nguo ili mteja apende nguo lzm nitumie WhatsApp kumtumia picha akiipe da tunafanya biashara

Sasa leo nimechukua mzigo wa kutosha aisee kwani picha zinaenda sasa ? Yani biashara zangu zinakwama kisa siasa?

Kwahio tutalala njaa kisa uchaguzi
Haya wabarikiwe
Nitashangaa ukimchagua mtesi wako
 
Nauliza tu yaani unaanza anzaje kumchagua kiongozi wa namna hii?

Halafu na yeye unakuta yupo kwenye VPN anachungulia Twitter na kutoka

Halafu anawasumbua watu wa kumlinda wamtafutie habari wakati ka- slow internet?
Yaani kiukweli watakao wachagua CCM Tena baada ya matukio ya toka 2015 Basi wakapimwe akili.
 
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Maana Ake Mwende Barabara mdundwe na kupewa kipigo kitakatifu bila hao mabeberu Manowategemea kufungua Mabakuli yao
 
Hii ndo maana ya znz kupiga kura siku mbili
 
Attachments

  • Screenshot_20201027_215304.jpg
    Screenshot_20201027_215304.jpg
    51.9 KB · Views: 1
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Kama unajiuliza hupati jibu acha kuumiza alili yako ndogo mkuu. Jiulize maswali saizi ya akili yako
 
Bwana wee naombeni radhi kama wamenisikia vile.. YouTube is down, Twitter is down WhatsApp huwezi kutuma picha au attachment. Samahanini.. Watuachie JF tuView attachment 1613804View attachment 1613805
Muda mwingine uwe makini kwanza kwa kuchunguza mkuu. Nimeamini leo kwako,kumbe Unaweza ukapoteza ulichojijengea sec moja tu kwa usemi mmoja tu kama “mnapenda attention”.

Pia unaweza kurudisha kwa semi moja tu, kama “nawaombeni radhi” “samahani”. Lakini kupoteza ni zaidi kuliko kurudisha. Ksbb hata ukirudisha bado kuna ka% utakakosa kukarudisha kote kawe vile kama mwanzo
 
Yani biashara zangu za mitandaoni nauza viatu na nguo ili mteja apende nguo lzm nitumie WhatsApp kumtumia picha akiipe da tunafanya biashara

Sasa leo nimechukua mzigo wa kutosha aisee kwani picha zinaenda sasa ? Yani biashara zangu zinakwama kisa siasa?

Kwahio tutalala njaa kisa uchaguzi
Haya wabarikiwe
Pole sana kaka, hii imeni huzunisha sana.
 
Yawezekana kazi kubwa itakuwepo 2025. Nyoka aliyekwishaingia chumbani atatoka kirahisi kweli?
 
Back
Top Bottom