Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Leo imekuwa nichangamoto sana kwa wote watumiaji wa social networks, kuanzia tsup, FB twitter na instagram hakuna kitu inaendelea kabisa.

Ila sis wa JF tunapeta tuu, ndio sehemu pekee tunaweza share ideas kwa leo na hii imefanya mtandao ukiwa powa ntaenda rate hii app kwa 5 Stars.

Maana sio wote tunataka zungumzia siasa hivyo tukikosa mtandao sio powa.
 
Uzimaji huu wa mitandao kwa hakika umenisababisha kutoona umuhimu wa kupiga kura nikimaanisha uzimaji huu wa mitandao hii umenifanya nibashiri matokeo mapema kabisa kwa maana ya kuwa lengo la uzimaji huu tayari {MZIMAJI NDIYE MSHINDI KABLA HATA KURA KUPIGWA}by mean of restricts infos
 
Back
Top Bottom