Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan wao si ndio waliokuletea hiyo mitandao?Ajabu bado mtu ataenda wapigia kura tena hawa wazima mitandao
Hili hata mimi limenishangaza... wana wasiwasi wa niniWhatsApp, Facebook na Instagram tayari zimezuiliwa tanzania bara ivi wewe unaona kulikua na ulazima wowote wa kufanya hivi?
Usalama wa taifa au usalama wa CCM?kwa usalama wa taarifa
Wewe hata umpigie Lissu pamoja na mke wake but tambua JPM ndo RaisNilikuwa nimpigie Magufuri kura ila kwa alicho fanya nampigia Lisu
Na hatutaki kura yako.Nilikuwa nimpigie Magufuri kura ila kwa alicho fanya nampigia Lisu