E medics
Member
- Sep 18, 2019
- 79
- 93
hahahaaaa 😅😅😀😅 pole yenuSimba ingelicheza leo na kufungwa mbona usingizi ungelikuwaa mzuriii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaa 😅😅😀😅 pole yenuSimba ingelicheza leo na kufungwa mbona usingizi ungelikuwaa mzuriii
Haya Mavibendera utoto na Ujinga vimewatawala sanaPia naamini nyumbani kwako/kwenu, mkiwa na marafiki zako, ndugu zako, jamaa zako, na kazini kwako kuna utaratibu wa kutoa mawazo na lugha ya kutumia.
Tunapoelekea siku ya kesho uchaguzi ni muhimu kudhibiti walio na tabia ya kuandika ya hovyo, uzushi, nk.
Kwa kuwa hujui kama hujui thamani ya amani, nakusamehe kwa hilo.
Kwani wewe ndo mara ya kwanza kutumia vpn au umeijuaa leo mkuu?Yani punguani kama wewe umejibu hapa huku ukiwa unatumia VPN alafu unabwatuka ujinga!
Taratibuuuuhahahaaaa 😅😅😀😅 pole yenu
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Wewe unatumia kichwa cha chini kufikiria....hicho kichwa cha juu ni papai..Kwa usalama wa taifa wacha wazime siku mbili sio nyingi.
Yaa, huyu mzee wa burigi kwenye nafasi ya urahisi anatosha sana, hivyo akina kessy ni bora wamlazimishe awe rahisi wa maisha..Sasa si wangemuapisha tu, kuliko mateso watu wanayoyapata..jumliwha gharama za uchaguzi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama na hapa pangezimwa ungeipongezea wapi?.Naipongeza serikali!
Imeniuma sana au huu mchezo wangeliujaribuu janaHahaaaaahaaa
Jiwe keshafanya yakeKuanzia Twitter, YouTube mpaka insta naona kama servers ziko down. Nimechoka mpaka Tiktok eti nayenyewe inazingua, vipi kwenu huko wakuu?
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Youtube pia! ,Twitter policy wametweet muda mfupi pia wameona twitter iko blocked huko TanzaniaMpaka what sap imegoma
Uzuri ata kwenye kituturi ukikoseaa unapewa karatasi nyingne...Nilikuwa nimpigie Magufuli kura ila kwa alichofanya nampigia Lissu
Hivi wewe umehitimu hata darasa la tatu kweli wewe..??[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Naipongeza serikali!
Sema na twitter imekuwa ya cha wote ...japo muhim vimepatikana kuleYoutube pia! ,Twitter policy wametweet muda mfupi pia wameona twitter iko blocked huko Tanzania
Daaaah naingia Twitter kila muda Hai refresh sijui ni mtandao Ama nini