Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Pia naamini nyumbani kwako/kwenu, mkiwa na marafiki zako, ndugu zako, jamaa zako, na kazini kwako kuna utaratibu wa kutoa mawazo na lugha ya kutumia.

Tunapoelekea siku ya kesho uchaguzi ni muhimu kudhibiti walio na tabia ya kuandika ya hovyo, uzushi, nk.

Kwa kuwa hujui kama hujui thamani ya amani, nakusamehe kwa hilo.
Haya Mavibendera utoto na Ujinga vimewatawala sana
 
Mimi nimejuwa bando limekekata kanunuwa bando bado nikaona isiwe shida nikahama mtandao nikaweka bando kungine nakwenyewe ora nikaona nipite jf naona pako waFreshi
 
Youtube pia! ,Twitter policy wametweet muda mfupi pia wameona twitter iko blocked huko Tanzania
Sema na twitter imekuwa ya cha wote ...japo muhim vimepatikana kule
 
Nimejaribu kuingia mitandao mbalimbali naambiwa tu "stay away". Twitter, Instagram, Facebook, Telegram vyote hivi havipatikani.
 
Back
Top Bottom