Mananta1987
Member
- Oct 14, 2017
- 59
- 30
Hata ukituma huyo unayemtumia hawezi pata..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukituma huyo unayemtumia hawezi pata..
Wanasiasa wanangalia vipaumbeke vyao bila kujua wanaathiri maisha ya wananchi.Kuanzia jana saa tisa alasiri walituzimia mitandao
Lkn hiyo VPN ukitaka kuipakua inakupa tahadhari kuwa inaweza ikaharibu simu yako.!!Download hii vpn
URL unfurl="true"]https://m.apkpure.com/ufo-vpn-basic-free-vpn-proxy-master-secure-wifi/ufovpn.free.unblock.proxy.vpn[/URL][
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mbaya zaidi ukute umempigia kura jiwe.Dah nataka nipost kidole changu fb baada ya kutoka kupiga kura nakuta haifunguki. Nikasema basi niende whatsaap na kwenyewe kimya. Nikaona niulize jamii forum jibu nimepata. Sijutii kuwa na jamii forumi mambo mengi najifunzaga humu..View attachment 1614313
Kikawaida android zinatumia apps kutoka plya store na app yoyote kutoka nje ya playstore ukitaka kuiweka utaletewa hiyo alert!!Lkn hiyo VPN ukitaka kuipakua inakupa tahadhari kuwa inaweza ikaharibu simu yako.!!
Unadhani wajinga kama wewe miaka yote kabla ya utandawazi walizungumzia wapi uharo huu!?Sasa haya mawazo yako ungeyaandikia wapi, kama na JF ikizimwa. Nyie CCM hamnaga akili.
hahahah hizi ndo post zenu huko FB aiseDah nataka nipost kidole changu fb baada ya kutoka kupiga kura nakuta haifunguki. Nikasema basi niende whatsaap na kwenyewe kimya. Nikaona niulize jamii forum jibu nimepata. Sijutii kuwa na jamii forumi mambo mengi najifunzaga humu..View attachment 1614313
Airtel nayo haiwezi kufunguaNajaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >Uchaguzi 2020 - Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswawww.jamiiforums.com
Wapumbavu kama wewe sindio hamfahamu umuhimu wa mitandao , lakini mlivyo wapumbavu zaidi bado mbaendelea kuitumia. Kipindi dunia inapiga hatua kwenda mbele nyie mlivyo naakili ndogo kama kuku, mnataka turudi zamani pumba..v..u.Unadhani wajinga kama wewe miaka yote kabla ya utandawazi walizungumzia wapi uharo huu!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wanaturudisha kwenye ujimaWapumbavu kama wewe sindio hamfahamu umuhimu wa mitandao , lakini mlivyo wapumbavu zaidi bado mbaendelea kuitumia. Kipindi dunia inapiga hatua kwenda mbele nyie mlivyo naakili ndogo kama kuku, mnataka turudi zamani pumba..v..u.
Huna unaloandika wala kujua... Full of sh#t from head to toe.Wapumbavu kama wewe sindio hamfahamu umuhimu wa mitandao , lakini mlivyo wapumbavu zaidi bado mbaendelea kuitumia. Kipindi dunia inapiga hatua kwenda mbele nyie mlivyo naakili ndogo kama kuku, mnataka turudi zamani pumba..v..u.