Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Ama tcra wameweza kuzima mitandao, basi tarajieni akipita magufuli, ndani ya miaka mitano kila jambo ambalo haramu ambalo CCM wanaenda kulipitisha, mf kuingeza ukomo wa rais, basi watazima. Ushakuwa utamaduni wao

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Dah nataka nipost kidole changu fb baada ya kutoka kupiga kura nakuta haifunguki. Nikasema basi niende whatsaap na kwenyewe kimya. Nikaona niulize jamii forum jibu nimepata. Sijutii kuwa na jamii forumi mambo mengi najifunzaga humu..
IMG_20201028_082508.jpeg
 
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.

Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?

Natumia Mtandao wa Tigo

PIA SOMA
= >
Airtel nayo haiwezi kufungua
 
Unadhani wajinga kama wewe miaka yote kabla ya utandawazi walizungumzia wapi uharo huu!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wapumbavu kama wewe sindio hamfahamu umuhimu wa mitandao , lakini mlivyo wapumbavu zaidi bado mbaendelea kuitumia. Kipindi dunia inapiga hatua kwenda mbele nyie mlivyo naakili ndogo kama kuku, mnataka turudi zamani pumba..v..u.
 
Wanaturudisha kwenye ujima
 
Wapumbavu kama wewe sindio hamfahamu umuhimu wa mitandao , lakini mlivyo wapumbavu zaidi bado mbaendelea kuitumia. Kipindi dunia inapiga hatua kwenda mbele nyie mlivyo naakili ndogo kama kuku, mnataka turudi zamani pumba..v..u.
Huna unaloandika wala kujua... Full of sh#t from head to toe.

All elections in the world zinakuwa na media censorship... Na huko wanaelimu na akili sio makondoo kama ninyi... Wanaheshimu ethics za utangazaji na ufikishaji habari..

Hawa wakwenu wasiojua maana ya habari wanatia upuuzi tupu for attention ndio uwape uhuru ili iweje and you already know the outcome!?

Tukubaliane mimi sikuelewi na wewe hunielewi. Kapige kura tungoje NEC watangaze Matokeo. No more quotes.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya internet kuonekana kuminywa kipindi cha kuelekea uchaguzu mkuu na hata baada ya uchaguzi,tatizo hilo limekuwa likipotea taratibu ambao mtandao wa internet ulianza kurudi kidogokidogo katika hali ya kawaida na kuwezesha watu ku-access mitandao mbalimbali kama vile whatsApp, Instagram, facebook na mitandao mingineyo bila kusahau JamiiForums yetu.

Hata hivyo, pamoja na hali kurejea katika hali ya kawaida, inaonekana tatizo bado liko katika ku-access mtandao wa twitter, mtandao unaonekana kutumika na watu wengi wakiwemo wanasiasa na wanaharakati mbalimbali.

Swali ni je,kusuasua kurejea kwa mtandao huu ni kutokana na mtandao huo kutumika na watu wengi wakiwemo wanasiasa na wanaharakati akiwemo na yule whistelblower maarufu kule twitter?

Au tatizo hili wenzangu hamlioni?

Kwa sasa unaweza ku-access twitter bila VPN?
 
Back
Top Bottom