Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Baada ya internet kuonekana kuminywa kipindi cha kuelekea uchaguzu mkuu na hata baada ya uchaguzi,tatizo hilo limekuwa likipotea taratibu ambao mtandao wa internet ulianza kurudi kidogokidogo katika hali ya kawaida na kuwezesha watu ku-access mitandao mbalimbali kama vile whatsApp, Instagram, facebook na mitandao mingineyo bila kusahau JamiiForums yetu...
Walioko huko wamethibitisha bila VPN hufungui!
 
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.

Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?

Natumia Mtandao wa Tigo

PIA SOMA
= >
Mimi pia nikitaka kuingia twitter haifunguki paka niwashe VPN ndo inakubali!!
 
Baada ya internet kuonekana kuminywa kipindi cha kuelekea uchaguzu mkuu na hata baada ya uchaguzi,tatizo hilo limekuwa likipotea taratibu ambao mtandao wa internet ulianza kurudi kidogokidogo katika hali ya kawaida na kuwezesha watu ku-access mitandao mbalimbali kama vile whatsApp, Instagram, facebook na mitandao mingineyo bila kusahau JamiiForums yetu...
uko sahihi hata kwangu bado inafanya slowly
 
Tangu Jumapi nafungua Twitter inazungusha tuu haifunguki. Kuna mwenye Shida kama yangu? Naombeni Msaada. Nina Bando la kutosha Ila ndio sipati huu Mtandao.
 
1098090.jpg
 
Back
Top Bottom