Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una Phd ya unafiki.Tunaupata kama kawaida bwashee!
vipi ulisha jifungua lakini au umeitoa kama kawaida yako?
Walioko huko wamethibitisha bila VPN hufungui!Baada ya internet kuonekana kuminywa kipindi cha kuelekea uchaguzu mkuu na hata baada ya uchaguzi,tatizo hilo limekuwa likipotea taratibu ambao mtandao wa internet ulianza kurudi kidogokidogo katika hali ya kawaida na kuwezesha watu ku-access mitandao mbalimbali kama vile whatsApp, Instagram, facebook na mitandao mingineyo bila kusahau JamiiForums yetu...
Mimi pia nikitaka kuingia twitter haifunguki paka niwashe VPN ndo inakubali!!Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >Uchaguzi 2020 - Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswawww.jamiiforums.com
Tunaupata kama kawaida bwashee!
uko sahihi hata kwangu bado inafanya slowlyBaada ya internet kuonekana kuminywa kipindi cha kuelekea uchaguzu mkuu na hata baada ya uchaguzi,tatizo hilo limekuwa likipotea taratibu ambao mtandao wa internet ulianza kurudi kidogokidogo katika hali ya kawaida na kuwezesha watu ku-access mitandao mbalimbali kama vile whatsApp, Instagram, facebook na mitandao mingineyo bila kusahau JamiiForums yetu...
Inauzwa shillingi 50,000/= tu, lakini mimi ninayo nitakuuzia 35,000/= tuma pesa chap kwenye namba hii 07666123678.Halafu VPV hadi ununue?