Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

HUKU KWENYE MITANDAO YA SIMU SASAHIVI TUNAPIGWA SANA SERIKALI ITAVUNA PESA NYINGI SANA ILI WASIWASI WANGU NI KWAMBA ZITAJENGA BARABARA ZA VIJIJINI NA MADARASA MAANA SAFARI ZIMEKUWA NYINGI.
Kama wameshindwa kuheshimu hela za mikopo wataweza za dhuluma hizi.......
 
Kuna umuhimu wa watu kujua mambo ya kitalaam na kuyazungumza kitalaam. Tukisema tubishane nao kwa hasira hatutapata kitu.

Hili taifa halikupatikana kwa misingi ya ugomvi so inabidi tusimamie misingi ile ile.
Watatupasua ila Taleban kumetaradadi😂
 
Nilikuwa nataka nijiunge bundle la mwezi Leo, yaani tungekutana tena September huko, maphisaoo!

Sema mambo ya 'hii dunia yetu' yanapelekwa kwa kuyumbayumba mno! Mungu atusaidie tu.
"Maphisaooo" hili neno limenifurahisha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanachagizwa sana na 'catalyst' iitwayo hisia. Kwao hisia yoyote ina nguvu sana iwe ni hasira, huzuni, huruma na kadhalika.
 
Daah!
Tumefikishwa hapo...Yaani mtu anakuja na bandiko tu lisilojulikana chanzo wala uhakika wake watu wanaliamini tu kwa vile linakonga nyoyo na matamanio yao!
Tusijifariji na kujipa matumaini potofu kwa Taarifa zisizothibitishwa wala ushahidi.
 
Sawa. Lakini hii miradi si tumeisifia sana awamu ya tano? Hatukujua kuwa inatakiwa igharamiwe?
 
Vifurushi visivyojulikana vimesitishwa..basi tungeviona angalau kwa siku moja tu.
 
Wewe ndiye unalazimisha ujinga.
Wa Kudemka yuko kwenye kiti kikatiba, halazimishwi kuupokea ushauri wa mtu yoyote. So anapotekeleza ushauri wa Msoga hiyo sisi tunahesabu ni yeye.
Pia kupokea ushauri wa hovyo inamaanisha nawe ni wa hovyo vilevile
Endelea kwanza na masuala ya Uwoya achana na masuala haya!
 
Jinga kubwa kabisa.ambaye amesitisha ni halotel tuu.wengine wameshatoa jinsi vifurushi vinavyotakiwa.kwingine wanaweka airtime tu bila SMS wala mb
 
Daah!
Tumefikishwa hapo...Yaani mtu anakuja na bandiko tu lisilojulikana chanzo wala uhakika wake watu wanaliamini tu kwa vile linakonga nyoyo na matamanio yao!
Tusijifariji na kujipa matumaini potofu kwa Taarifa zisizothibitishwa wala ushahidi.
Wewe unaongea nini?! Mbona kama hauna adabu. Mimi ninachosema na wanachosema wengine hapa haukioni?!

Una simu wewe au hauna?! Sasa nimekuwekea hadi screenshot ya sms halafu bado unaandika sijui makitu gani hapa .....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…