Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

HUKU KWENYE MITANDAO YA SIMU SASAHIVI TUNAPIGWA SANA SERIKALI ITAVUNA PESA NYINGI SANA ILI WASIWASI WANGU NI KWAMBA ZITAJENGA BARABARA ZA VIJIJINI NA MADARASA MAANA SAFARI ZIMEKUWA NYINGI.
Kama wameshindwa kuheshimu hela za mikopo wataweza za dhuluma hizi.......
 
Kuna umuhimu wa watu kujua mambo ya kitalaam na kuyazungumza kitalaam. Tukisema tubishane nao kwa hasira hatutapata kitu.

Hili taifa halikupatikana kwa misingi ya ugomvi so inabidi tusimamie misingi ile ile.
Watatupasua ila Taleban kumetaradadi😂
 
Nilikuwa nataka nijiunge bundle la mwezi Leo, yaani tungekutana tena September huko, maphisaoo!

Sema mambo ya 'hii dunia yetu' yanapelekwa kwa kuyumbayumba mno! Mungu atusaidie tu.
"Maphisaooo" hili neno limenifurahisha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Psychology inasema kwamba wanawake wana roho mbaya/ngumu kuliko wanaume.
Bora ukutane na Sadist wanaume watano kuliko sadist mwanamke mmoja.
Hiyo inasababishwa kwakua mwanamke yupo kama Transistor.
Kitu akiamua kukifanya mwanamke kwa akili zake zote anakifanya kwa asilimia 500000%
Don't understimate the mind of Woman

Transistor is a device used to amplify or switch electronic signals and electrical power

Yaani kitu anachofanya mwanaume, mwanamke anaweza kukifanya mara kumi zaidi yake
Wanachagizwa sana na 'catalyst' iitwayo hisia. Kwao hisia yoyote ina nguvu sana iwe ni hasira, huzuni, huruma na kadhalika.
 
Daah!
Tumefikishwa hapo...Yaani mtu anakuja na bandiko tu lisilojulikana chanzo wala uhakika wake watu wanaliamini tu kwa vile linakonga nyoyo na matamanio yao!
Tusijifariji na kujipa matumaini potofu kwa Taarifa zisizothibitishwa wala ushahidi.
 
Mbona hatuongelei swala la kubana matumizi ya serikalini. I mean magari wanayotumia, mishahara na allowances zao mbona huko hatuangalii maana kodi nyingi inakwenda huko na inapotea......

Lakini why wananchi wateseke kwa vitu ambavyo hawakuhimiza vifanyike....?!

Kodi za namna hii ambazo hazizingatii uhalisia zenye kulenga kuumiza raia huwa hazina muendelezo mzuri mwisho wa siku.
Sawa. Lakini hii miradi si tumeisifia sana awamu ya tano? Hatukujua kuwa inatakiwa igharamiwe?
 
Vifurushi visivyojulikana vimesitishwa..basi tungeviona angalau kwa siku moja tu.
 
Wewe ndiye unalazimisha ujinga.
Wa Kudemka yuko kwenye kiti kikatiba, halazimishwi kuupokea ushauri wa mtu yoyote. So anapotekeleza ushauri wa Msoga hiyo sisi tunahesabu ni yeye.
Pia kupokea ushauri wa hovyo inamaanisha nawe ni wa hovyo vilevile
Endelea kwanza na masuala ya Uwoya achana na masuala haya!
 
Watu humu ndani ni wapumbavu wengi Sana, Serikali inapitia upya tozo na vifurushi Ili kupunguza gharama tofauti na ambavyo walipitisha awali ila majitu Kazi kupayuka,kutukana.

Kwanza ningekuwa mimi ndio Rais nisingesitisha kitu maana Magu wakali haya malalamishi yanapayuka mtaani kugumu jibu lilikuwa piga Kazi upate pesa,na Kazi utapiga na pesa huioni.

Sasa hapa serikali inasikiliza Hawa kenge hata kodi hawalipi,aisee ningekuwa kwenye maamuzi hakuna kitu ningepunguza jibu langu lingekuwa moja tuu tuulizane pesa au matokeo ya pesa.
Jinga kubwa kabisa.ambaye amesitisha ni halotel tuu.wengine wameshatoa jinsi vifurushi vinavyotakiwa.kwingine wanaweka airtime tu bila SMS wala mb
 
Daah!
Tumefikishwa hapo...Yaani mtu anakuja na bandiko tu lisilojulikana chanzo wala uhakika wake watu wanaliamini tu kwa vile linakonga nyoyo na matamanio yao!
Tusijifariji na kujipa matumaini potofu kwa Taarifa zisizothibitishwa wala ushahidi.
Wewe unaongea nini?! Mbona kama hauna adabu. Mimi ninachosema na wanachosema wengine hapa haukioni?!

Una simu wewe au hauna?! Sasa nimekuwekea hadi screenshot ya sms halafu bado unaandika sijui makitu gani hapa .....!
 
Back
Top Bottom