Kayombo Tips
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 461
- 574
Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo.
Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite zake yeye mwenyewe alizoweka angani huko. Naona kama mpango wa Elon Musk utaweza kuumiza biashara ya Internet inayotumika na mitandao ya simu inayotumia minara. Hivyo itaweza kuleta ushindani wa kibiashara.
Lakini na wasiwasi kama mitandao ya simu ya hapa Tanzania itaweza kushindana na Elon Musk kulingana na Teknolojia anayotumia?
Natamani Elon Musk angeanzisha hata mwaka huu ili tupumue gharama za vifurushi. Mitandao ya simu pigeni faida kwa mara ya mwisho. Kuanzia mwaka ujao bilionea atawanyanyasa sana. Je mtaweza kushindana naye?
Wanajukwaa mna mtazamo gani juu ya hili?
====
Pia soma

- Elon Musk ana mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania
- Elon Musk kuleta Intaneti ni tishio kwa mitandao ya simu, atapora wateja wenye matumizi makubwa na kuteka soko sehemu ambazo network inasumbua
- Waziri Nape: Starlink inakamilisha hatua za mwisho ipate vibali na kuanza kutoa huduma
- Waziri Nape: Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi Tanzania
- Serikali iachane na Sera zinazobana Wawekezaji, mfano kumtaka Elon Musk kuweka ofisi za Starlink Tanzania
- Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea
- Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi
- Katika ulimwengu huu wa digitali, ni utahira kukataa kuletewa Intaneti ya kasi ya juu kwa bei nafuu ya Elon Musk
- Nchi 6 zilizotoa Leseni kwa Starlink kutoa huduma za Intaneti yenye Kasi zaidi Afrika
- Kenya kuanza kutumia huduma za Startlink
- Elon Musk: Starlink sasa yaingia Msumbiji
- Zimbabwe: Serikali yapokea Maombi ya Starlink kutoa huduma za Intaneti
- Shule za Rwanda kutumia internet ya Starlink
- Baada ya Israel kuzima mtandao Gaza Star link kuwasha internet Gaza!
- Israel yavunja mahusiano na Starlink, ni baada ya Elon Musk kusema atasambaza internet Gaza
- Star link tayari imeshaingia nchini kimagendo
- Wakamatwa kwa kujitangaza kutoa huduma ya internet ya Starlink Instagram
- Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani
- TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini
- Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania
- Matatizo ya kukatika Internet nchi nzima alauniwe Waziri Nape kwa kuikataa StarLink
- Internet Outage: Unatumia mtandao gani wenye nafuu kwenye hili janga?