King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Siyo kutumika bali ni aina ya programu unafanya kuinstall kwa phone yako!.
Sijui ulichonijibu kina maana gani kwa reply yangu kwa comment husika?.Mkuu simu bila program ni kopo...Hata ile dial keys ni app/program...kwahiyo kwenye simu lazima uinstall program ndio ifanye kazi.
Sijui ulichonijibu kina maana gani kwa reply yangu kwa comment husika?.
Infact great thinker unapaswa kueleza jambo in thinking siyo kama ulichoeleza, kuna binadamu akili zao ni kama za bata anaweza kuhisi ni aina ya simu and not progamu tumishi.Jibu lako ulilonijibu ina maanisha kwamba nilikuwa sijui kwamba simu mpaka itumike kama remote lazima iwekewe program ya remote na ndio nikakujibu simu kama simu bila program ni kama KOPO....kwahiyo By Default simu ni Program.
Hayo mambo uliyoorodhesha ndiyo sera za serikali tangu kupata uhuru zaidi ya miaka hamsini sasausiwe mgumu kuelewa, kodi/tozo unayo katwa ni kwa ajili ya hudumu utakazo zitumia ww mwenyewe au ndugu zako, mfano;
1.Brabara, ujenzi wa barabara ktk maeneo mbalimbali.
2.Shule/ujenzi wa vyumba vya kusomea.
3. ujenzi wa zahanat/vituo vya afya.
4. n.k
Hivyo fedha unayo katwa ni kwaajili ya manufaaa yako mwenyewe, Serikali inacho kifanya ni kukusanya tu.
500 yako peke yako haiwezi kufanya chochote ila tunapo changia sote kama watanzania ndio inaleta tija. Umoja ni nguvu.
Tusi hujumu Jitihada za serikali ya awamu ya 6.
Makampuni ya Simu za mikononi yamesha VUNA vya kutosha.
sasa wakubali yaishe, wasijaribu kuvutana na serikali, maaana tunazo habari za baadhi ya makampuni yakivitumia baadhi ya vyombo vya habari kama vile TV, Radoo, Magazeti na mitandao ya kijamii kujaribu kupotosha ili waendelee kupiga pesa kama kawaida.
Tunasema Mitandao yote ya simu acheni kuihujumu Serikali.
Mbunge wako anayelipwa 12mil /mwezi anakatwa kodi kiasi gani.. kwnai kabla ya hii ongezeko la tozo tulikuwa hatulipi kodi? ;barabara zilikuwa hazijengwi kwa kodi zetu?usiwe mgumu kuelewa, kodi/tozo unayo katwa ni kwa ajili ya hudumu utakazo zitumia ww mwenyewe au ndugu zako, mfano;
1.Brabara, ujenzi wa barabara ktk maeneo mbalimbali.
2.Shule/ujenzi wa vyumba vya kusomea.
3. ujenzi wa zahanat/vituo vya afya.
4. n.k
Hivyo fedha unayo katwa ni kwaajili ya manufaaa yako mwenyewe, Serikali inacho kifanya ni kukusanya tu.
500 yako peke yako haiwezi kufanya chochote ila tunapo changia sote kama watanzania ndio inaleta tija. Umoja ni nguvu.
Tusi hujumu Jitihada za serikali ya awamu ya 6.
Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
sina tatizo na "handset"Huwezi kushindana na teknolojia...!!
Kwani umetumia kifaa gani kuandika huo utopolo wako hapa?
Kama kuna kitu kimebuniwa Afrika n na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka wazungu wanakipongeza na hawaamini kama mwafrika angeweza kufanya ubunifu wa namna hii ni huduma za fedha kupitia simu za mkononi.Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
Paypal si benki, Payoneer siyo benki, skrill siyo benki, Wise siyo benki ni mitandao ya kutuma na kupokea pesa kama ilivyo Mpesa. Ninahisi kwa mawazo yako ungesema hata whatsapp kimsingi haikufaa kuwepo tungeendelea tu kutumia huduma ya sms za kawaida.sina tatizo na "handset"
tatizo lipo kwa makampuni yanayo miliki laini, wanajifanya wao wanaijua pesa zaidi kuliko benki.
Benki zifutweUnajua maana ya technology? Hata mwanzo wakati wanaanzisha tritel ulikuwa hauwezi kutuma meseji achilia mbali internet.....Lolote linaloweza kufanyika kwenye simu lifanyike tu maana hayo ndio maendeleo! Ndio maana kuna simu zinatumika kama remote za ac/tv!
vodacom ifungue benkiMitandao ya simu inafacilitate transactions kila kitu bado kipo under BOT na Banks...
Hivi unajua mteja mkuwa wa Mabenki ni Mitandao ya Simu ?, Sababu hizo pesa zinakuwa deposited huko..., Mitandao ya Simu imeweza kufikisha huduma pale ambapo Banks zimeshindwa (vijijini na kwenye mifuko ya kila mtumiaji wa simu) Banks walishindwa kupata wateja kufungua akaunti wala wasingeweza kufika mpaka vijijini ndani ndani kuwafikia watu
Kutokana na Teknolojia na kazi nzuri aliyoifanya Vodacom Mpesa ya kufundisha na kufikisha mawakala kila kona ya Tanzania watu wengi wakawa financially included...
Tuache Siasa kwenye mambo muhimu mwisho wa siku tunachotaka ni convinience kwa mtumiaji
Ni upumbavu wa hali ya juu unachotetea ni ujinga.usiwe mgumu kuelewa, kodi/tozo unayo katwa ni kwa ajili ya hudumu utakazo zitumia ww mwenyewe au ndugu zako, mfano;
1.Brabara, ujenzi wa barabara ktk maeneo mbalimbali.
2.Shule/ujenzi wa vyumba vya kusomea.
3. ujenzi wa zahanat/vituo vya afya.
4. n.k
Hivyo fedha unayo katwa ni kwaajili ya manufaaa yako mwenyewe, Serikali inacho kifanya ni kukusanya tu.
500 yako peke yako haiwezi kufanya chochote ila tunapo changia sote kama watanzania ndio inaleta tija. Umoja ni nguvu.
Tusi hujumu Jitihada za serikali ya awamu ya 6.
Haina haja ya kufungua benki, PayPal ina benki, Skrill ina benki, Worldremit ina bank? Kama kuna invention ambayo imewahi kuwa successiful afrika katika karne hii ya ubunifu, ni Mpesa iliyozaliwa na Safaricom. Ni teknolojia iliyobadilisha sekta ya kifedha Afrika. Hata leo mabenki yameweka sijui mawakala, sijui nao huduma za fedha kiganjani ili kushindana na hawa. Ebu jaribu kufikiri miaka kadhaa nyuma kabla ya haya.vodacom ifungue benki
Hapana kwa hayo matozo.Kama hawana uwezo wa kubuni MIRADI ya uzalendo watupe fursa wananchi wenye ubunifu tuwabunie au tuwashauri Nini kifanyike.SI AMINI KAMA KWELI UWEZO WAO WA KUBUNI UMEISHIA HAPO!tukubaki yaishe.
tulipe tozo.
Kiukweli Ni Kama aliye shauri ana lake JamboNi upumbavu wa hali ya juu unachotetea ni ujinga.
Jana mimi nimemtumia mtu 20000 nimekatwa mimi kama mtumaji 1560, yeye anaenda kukatwa zaidi ya 2000 atakapotoa hiyo pesa. Hebu fikiria muamala unakatwa zaidi ya 25% ya kiasi ulichotuma kama gharama.
Na watumiaji wengi wa hizi huduma ni watu wa chini wanaotuma na kupokea 5000, 10,000, 20000, 30000 kama mtu ana pesa nyingi kuanzia milioni mara nyingi ataenda benki au kwa wakala wa benki tu kudeposite.
Sasa mtu kama huyu anayetuma na kupokea 20,000 eti umkate almost 5,000 ni upuuzi.
Nchi hii ina kila aina ya neema,kuanzia madini mpaka ardhi, yani ni upuuuzi serikali kumkamua mwananchi eti kujenga barabara sijui kufanya nini kama vile nchi haina rasilimali.
Yani serikali imeshindwa kusimamia rasilimali zetu kuanzia dhahabu, ruby, chuma,gas, ardhi, bahari, tanzanite, bandari tukaweza kujenga nchi mpaka imkamue mwananchi hadi pumzi ya mwisho.
Tuma Elfu 5 TU utapata jibu la swali lako MkuuKwani pesa zinakatwa za mitandao au za mwananchi?
Aisee WaTanzania [emoji28]
Wapumbavu Sana eti wanalia Lia ooh wateja wamepunguza kutuma miamala sijui itaua biashara mara tozo zipunguzwe, pumbavu sana mbona kwenye makato wao wanapata kikubwa kuliko serikali.Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
Benki zifutwe