Mitandao ya Twitter na YouTube haipatikani Tanzania bila VPN | Septemba 07, 2021

Mitandao ya Twitter na YouTube haipatikani Tanzania bila VPN | Septemba 07, 2021

Isijekuwa zile tozo za mitandao ya kijamii ndio zimeanza kuwakimbiza mabeberu
 
Co
siku hizi hana content hadi kutukanana na vijana wadogo wadogo wasio na impact ,jamaa amekuwa kama mwehu

Content anayo sema kisu kimegusa mfupa wa ufipa sasa mnalialia..wakati kinakata nyama ya magu mlikuwa mnachekelea tu.
 
Mheshimiwa Samia tambua kuwa wanao tumia YouTube sio askofu Gwajima na Polepole pekee, uamuzi wenu una athiri vijana wengi sana wanaojitafutia kupitia mitandao hii.
Mwisho nawaombeni muwashe VPN kuendelea kupata YouTube ila mnaelekea kufeli mapema sana. Mlifanya vyema kufungia mitandao ya ngono, ila huko mnapotaka twende si pazuri.
 
Duuuh, kwa hii hatua tuliofika na bado kuna watu wanashabikia chama chakavu🙌🙌
 
huko youtube wengine tunasoma mambo yetu ndo university yetu sasa wanafunga halafu iweje?
 
Mimi ni mpenzi sana wa Youtube, mbona leo haifunguki?.
 
Back
Top Bottom