Mitandao ya Twitter na YouTube haipatikani Tanzania bila VPN | Septemba 07, 2021

Mitandao ya Twitter na YouTube haipatikani Tanzania bila VPN | Septemba 07, 2021

YouTube na Twitter serikali imevifunga Hadi vpn
 
Yule bwana wa kule twitter hana lolote siku hizi ,labda wanataka kufanya maamuzi mazito kuhusu Mbowe kwahiyo wanapima upepo
Na wasiwasi yule wa twitter ni mjukuu tu mwenyewe kafa nahisi kama JPM ndio alikuwa mwenyewe maana baada ya kuondoka tu mjukuu yuko busy na umbea wa mipira nahisi kama ana depression fulani hivi anarukia topic za kina Mwinjaku, hata Mwinjaku afadhali kumsoma...
 
Nchi hii ina viongozi wa ajabu sana. Ni mojawapo ya maajabu saba ya dunia.
 
Mpo nchi gani nyie Ambao mpaka mtumie VPN ndo Youtube na Twitter inafunguka[emoji848][emoji848][emoji848] Mods Moderator huu uzi unapotosha jamii afu bado upo tu
 
Na wasiwasi yule wa twitter ni mjukuu tu mwenyewe kafa nahisi kama JPM ndio alikuwa mwenyewe maana baada ya kuondoka tu mjukuu yuko busy na umbea wa mipira nahisi kama ana depression fulani hivi anarukia topic za kina Mwinjaku, hata Mwinjaku afadhali kumsoma...
sijaelewa alikuwa anapataje siri wakati wa JPM ,Sasa hivi unaona kabisa na yeye pia anategemea connection
 
Duh nmetoka kuhangaika uko kuwasha simu na kuzima nikajua MB zimekata ila nkifungua Insta inafanya kaz nkashndwa kuelewa kumbe wamezima .
 
Back
Top Bottom