D deblabant JF-Expert Member Joined Oct 7, 2022 Posts 2,650 Reaction score 4,065 Oct 7, 2024 #41 cocochanel said: 🤣🤣🤣 Nini maana ya makunwa..!!! View attachment 3117710 Click to expand... Mabo ya maendeleo tangible na intangibles.
cocochanel said: 🤣🤣🤣 Nini maana ya makunwa..!!! View attachment 3117710 Click to expand... Mabo ya maendeleo tangible na intangibles.
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,808 Reaction score 6,934 Oct 7, 2024 #42 Ni kweli mkuu mambo anayo Fanya ni makuma mno
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Oct 7, 2024 #43 Mmejadiliana na mumeo akakutuma uje uandike huu ujinga wako kujaza server ya watu
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Oct 7, 2024 #44 sysafiri said: Mbona mnatumia nguvu nyingi kumnadi Mama? Mama ameunda Tume yake kuhakikisha anabaki madarakani! Jeshi lipo! Wasi wasi wenu ni nini? Tuachieni wapiga kura tuje tuamue kwenye sanduku la kura! Click to expand... Nguvu wanayotumia kumsifia wangetumia kufanya kazi nchi ingekuwa mbali sn
sysafiri said: Mbona mnatumia nguvu nyingi kumnadi Mama? Mama ameunda Tume yake kuhakikisha anabaki madarakani! Jeshi lipo! Wasi wasi wenu ni nini? Tuachieni wapiga kura tuje tuamue kwenye sanduku la kura! Click to expand... Nguvu wanayotumia kumsifia wangetumia kufanya kazi nchi ingekuwa mbali sn
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Oct 7, 2024 #45 HATOGOMBEA!!