Pre GE2025 Mitano tena kwa Rais Samia Suluhu

Pre GE2025 Mitano tena kwa Rais Samia Suluhu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona mnatumia nguvu nyingi kumnadi Mama?
Mama ameunda Tume yake kuhakikisha anabaki madarakani! Jeshi lipo! Wasi wasi wenu ni nini?
Tuachieni wapiga kura tuje tuamue kwenye sanduku la kura!
Nguvu wanayotumia kumsifia wangetumia kufanya kazi nchi ingekuwa mbali sn
 
Back
Top Bottom