Mitazamo ya kike na kiume

hiyo nimetolea mfano tuu ila nilichokuwa nawish tangu niko mschana ni kuwa na mwanaume mwenyekujua vitu vingi na mwenye uelewa wa vitu vingi kunizidi, sio mimi ndo niwe nimemzidi uelewa, elimu, mali aaaahhh kwakweli nashindwa.

I thought ni.msichana kumbe mbibi!!!!!
too bad for u ur not strong as u think but ur weak anside especially ur feeling and emotion...
What u think is strength is ur biggest weakness
 

Nyani Ngabu huyu........ namuweka kapuni ana yake anajua anayoyafanya..............

M anot over confident, basi am selfish au najiskia na kuringa sana, some how am moody person.......
I dont want to have a perfect man but a man whose capability is above me, thats it. To my ignorance he should be a little more upgraded above my iognorance sio mie niwe juu yake.
Your hopes are not there coz nashindwa kumingle na mtu kumanage low kwake ni balance na high yangu nashindwaaa actually nilishashindwaa now am enjoying life
 
Unajiweka kwenye class ambazo haupo na hutakaa uwepo. Hakuna mtu mtakae fanana hata nusu ya hobby zenu.

Na interests hazitakaa zifanane hata siku moja. Wewe baki single tu.
yeah I am.
 
Watu wana uwezo tofauti katika kufanya/kuamua/kuchagua kila jambo,haitatokea mtu akawa anajua kila jambo na hasa kwa kiwango kikubwa.
Kwa bahati mbaya unaweza ukakutana na mtu mwenye IQ kubwa na mtu mzuri kwenye General knowledge,lakini hatakuwa anafahamu zaidi upande ambao wewe ungependa afahamu.
Mara nyingi kujua zaidi mambo mbalbali hutegemea na Interest yatu katika jambo(mambo)husika.
Lakini pia nakubali kuwa mtu anapouliza mambo madogo madogo kama vile kutaka kujua herufi fulani kwenye keypad ya simu iliyofutika au namba fulani inaweza kuwa wapi!ni kweli inaboa.
lakini kwa unavyotaka wewe sidhani kama wapo watu hao,na hayo no mapungufu ya kuyadharau tu,otherwise utadeti wengi
 
Your altitude will determine your destination!!.....I think you will understand reality when you will be 45 years and you are still single!!

hahahahahaaa u r late to tell me that netx year i'll be 45 may be ungeema nikifika 50 ndo nione joto ya jiwe, am in my 40s and am enjoying life looh
 
Nyi ndo mnaolewaga na maboya trust me. Kuwa makini sana utachagua sana mwisho wa cku umri nao ooh. Vp yule jamaa six pack wa mataa ubungo ulimpata?
 
Halafu wanawake wa dizaini hii ht mara mbili humtizami. Mbayaaaaaaaaa
 

You're too complicated than you think.
 

Juzi nikakuuliza basi mitaa yako nijaribu kuzengea huko nicrash na wewe unajibu kisiasa wakati project iliyonileta mjini inaexpire hivi karibuni nirudi mkoa.
 


Frankly speaking my Sister, those are the types that don't get fazed by your type. Re-strategize.

Over-confident? Aah no, over-dreaming if i may.
 
Aah I know you are perfectionist ,utakua unadondokea sana kwa wanaume wasiokupenda cos you are so selective!!
 


Waswahili wanasema Mchagua Nazi siku zote huangukia Korona....Watch your Mouth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…