Mitego ya Rais ya kununua Magoli iwakamate wajinga wa hili Taifa tu. Mimi siwezi kamatwa kamwe

Dogo Kuna vitu vya ndani hujui

Serikali hii inayoshindwa kulipa mishahara ndo inanunua magoli
 
Kwa ghio pesa za magoli ndio zitafanya yote hayo uliyoandika?

Punguwani wahed.
 
Watu wanatafuta hela bro ndio maana serikali wanapata pesa za kodi ambazo ndio hizo zengine wanazigawa kwa wachezaji. Halafu siku zote masikini watabaki kuwa wengi tu kuliko nyie wenye pesa.
Kwahiyo hizo simba na yanga hazichangii Kodi
 
"kuhafaa" ndiyo nini?
 
Acha tu mkuu hii inchi inatia uchungu sana....hapo bado hujaongelea kizmkazi festival
 
Uko sawa kwa 100%
 
Issue hapa ni kupeleka pesa penye uhitaji muhimu na watanufaika wananchi wengi ila kama unaona kuna uhitaji kwa wachezaji wa simbana yanga kupewa pesa basi sawa.
Kwahiyo wizara ya michezo Haina uhitaji wa kupeleka pesa si ndio basi na Kodi zinazokusanywa hiyo wizara zisikusanywe
 
Imeniuma Sanaa 😊
 
Sawa lakini section ya simba na yanga tuodeal nayo Leo

Kesho tutadeall na section yako
Wajinga ni wajinga tu bila kujali kwenye mpira au siasa, sasa kujadili section za wajinga nao si inakuwa ujinga huo.
 
Kingine shida unazo pitia pambana nazo usitujumlishe na sisi labda chadema ndio watakupa sapoti maana hicho chama wafuasi wake
Wana gubu balaa
Mitego ya ununuz wa magoli ya Samia iwakamate wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…