Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mkuu unafahamu mti unakotoka?We jamaa una uhakika hujavuta bangi kweli?
Watanzania wengi wana shida ya kuelewa maandishi.Ebu futa alafu andika upya pengine nitakuekewa
Mti mkubwa una kilo laki tano umeota. Umetoka wapi? Mbona pale ulipotoka hatuoni dalili za kilo laki tano kutoka? Kilo laki tano ni mzigo wa shimo kubwa.Shimo Gani Tenaπ§
Unafahamu miti inakotoka mkuu?Wakati wenzenu wanasoma nyie mlikuwa mnaruka ruka.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Kuberi haichanganwyi na kahawa mkuuHabari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakuwa kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?
View attachment 2417960View attachment 2417961View attachment 2417962View attachment 2417963View attachment 2417965
Sasa mbona unapotoka hatuoni shimo? Maana unatengeneza mzizi huko chini na kuinua shina kubwa huku juu. Tulitegemea ile ujazoMti unatoka chini sana na ukitaka kujua unaanzia wapi usiukate hata mzizi wake mmoja ufuate kuelekea chini ndio utaona ulivyojishikilia na ukubwa wa shimo lakeView attachment 2418033View attachment 2418034
Hapana. Namaanisha kama mti unatoka ardhini, basi kuwe na shimo kubwa pale ulipotoka.Kwahiyo mkuu unataka kusema dunia inatakiwa kubonyea kwa uzito wa mti? πππ