Mitihani ya darasa la nne nayo mnasimamia na polisi wenye bunduki?

wanalipa umuhimu tukio

sema hua wanahongwa tu wanaangalia pembeni, umenikumbusha la 7 tulipewa majibu ya mtihani flani sijui mathe😂 wakawa wanatuambia mkisema nyie na wazazi wenu mnaenda jela

sasa mtoto wa miaka 12, 13 atatunza siri kweli
Nakumbuka darasa la Saba sisi tulipewa majibu ya mtihani wa dini tu,, kumbe kuna watu mlipewa hadi ya mathe na hamsemi😃😃😃
 
Hii mitihani kusimamia mpaka uwe chawa wa mkuu wa shule... Kwel Africa tuko nyuma sana
ije mvua ije baridi kamwe siwezi kuwa chawa wa mkuu wa shule namuona kama kiranja fulani hivi. Muajiri ndiyo bosi hata hivyo siwezi kuwa chawa wake, na mimi ninayo elimu na utashi wangu tuheshimiane
 
Back
Top Bottom