Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kuna nyumba mtoto anapenda sana kucheza mpira hata usiku yupo tayari aache chakula akacheze mpira Ila baba yake hio tabia ya Mtoto wake kupenda mpira kupitiliza haipendi anafika sehemu anawatimua marafiki wanaomfuata mtoto wake ili wakacheze nae mpira, nyumbibombiSawa mwalimu wa mathe
Nakumbuka darasa la Saba sisi tulipewa majibu ya mtihani wa dini tu,, kumbe kuna watu mlipewa hadi ya mathe na hamsemi😃😃😃wanalipa umuhimu tukio
sema hua wanahongwa tu wanaangalia pembeni, umenikumbusha la 7 tulipewa majibu ya mtihani flani sijui mathe😂 wakawa wanatuambia mkisema nyie na wazazi wenu mnaenda jela
sasa mtoto wa miaka 12, 13 atatunza siri kweli
Kwahiyo lazima vitisho vihusike sio?Kuna nyumba mtoto anapenda sana kucheza mpira hata usiku yupo tayari aache chakula akacheze mpira Ila baba yake hio tabia ya Mtoto wake kupenda mpira kupitiliza haipendi anafika sehemu anawatimua marafiki wanaomfuata mtoto wake ili wakacheze nae mpira, nyumbibombi
Ndio 😆Kwahiyo lazima vitisho vihusike sio?
Nakumbuka tulisimamiwa kipindi kile😄😄magoboleBunduki hizi watoto wanazoona Kila siku kwenye TV? Zikiua watu?
Vitoto vya darasa la Nne? Badala ya Kujibu mtihani kanabaki kuwaza mibunduki, pengine wanawaza watakufa?
Acheni mazoea ya Kijinga, zama zimebadilika.
😆😆😆😆Wako na posho zaoHiyo mitihani ya darasa la nne ina posho. Ukipangwa kusimamia una uhakika wa kuingiza hela mfukoni. Na yenyewe hufanyika siku mbili kama ya la saba
ije mvua ije baridi kamwe siwezi kuwa chawa wa mkuu wa shule namuona kama kiranja fulani hivi. Muajiri ndiyo bosi hata hivyo siwezi kuwa chawa wake, na mimi ninayo elimu na utashi wangu tuheshimianeHii mitihani kusimamia mpaka uwe chawa wa mkuu wa shule... Kwel Africa tuko nyuma sana
ije mvua ije baridi kamwe siwezi kuwa chawa wa mkuu wa shule namuona kama kiranja fulani hivi. Muajiri ndiyo bosi hata hivyo siwezi kuwa chawa wake, na mimi ninayo elimu na utashi wangu tuheshimianeHii mitihani kusimamia mpaka uwe chawa wa mkuu wa shule... Kwel Africa tuko nyuma sana
Hapo sawa, nimekuelewa kiongoziNdio 😆