Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Fundi Maiko Ndiyo Angewashonea Bado WangependezaUkiwa na kaumbo katamu hata kikishonwa na fundi Juma unatokelezea tu, sasa wenzangu na mie bora uhai tu.
Hizi ndo stail zangu [emoji23][emoji23]Kuna mikanda ukiona umepungua kilo mbili unatupia mkanda juu ya gauni
View attachment 1354848
Duh ,pambana utampata fundi anayekujulia tu na utainjoymimi nina kilo 62-65 nazungukaga hapo
mafundi tu wenyewe ila sina shape mbaya sana..nanunuaga vitenge vya kujifunga tu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafundi wazuri wapo lakini uwe tayari kulipia 50,000 kwa nguo moja.
Hahaah hili nalo neno.Ukiwa na kaumbo katamu hata kikishonwa na fundi Juma unatokelezea tu, sasa wenzangu na mie bora uhai tu.