Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Kwanini wanajiita mitume Au nabii?
Matapeli, ili wawapige hela wenye akili ndogo.. Full uwizi kutumia fake name of Jesus Christ, Jesus wanae muhubiri hakukusanya fedha na kuishi maisha ya mfano wao na muwe makini siku hizi wengi watatumia jina la Bwana, lakini hao wana Bwana wao, sio Yesu Kristo.