Kuna bwana mmoja alichafua hali ya hewa StarTv kipindi cha tuongee asubuhi miaka kadhaa iliyopita. Alidai mwana mazingaombwe wa kwanza alikuwa Yesu kwa miujiza aliyokuwa akifanya mpaka kufikia hatua kufa na kufufuka. Nakumbuka kipindi ilibidi kikatishwe kwani wafuasi wa kristo walitoka mapovu si mchezo. Chanzo ni yeye kama mwenyekiti wa chama cha waganga wa tiba asilia huko kwao kushutumiwa na watazamaji kuwa wanatumia uchawi. na mazingaombweSasa wawili tu promo zote hizi za nini..?