YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
- Thread starter
- #41
Kanisa la Roma halikuanzia Uyahudi wee acha hizo na uache porojo za kukariri dini.imadhehebu yote ya kikristo wasio waroma wanawaheshimu Sana wayayudi na wanajua hawakumsulubisha Yesu .Kanisa katoliki Lina ubalozi palestina na huwatetea wapalestina adui wa wayahudi.Haliwapendi wayahudi kwa taarifa yako .Na sababu Ni rahisi tu uongo wake wa kanisa katoliki kuwa wayahudi ndio walimhukumu Yesu,kumtesa,na kumuua msalabani madhehebu mengine yaligoma kutambua huo uongo kuwa waroma ndio wahusika wakuu wa mauaji ya Yesu na jaji wao mrumi ponsio Pilato na Askari wao waroma.Una akili ndogo sana... Kanisa Katoliki limeanzia Jerusalem siku ile ya Pentekoste.. Baada ya hapo kutokana na sababu mablimbali hasa ukatili wa Wayahudi kwa wafuasi wa Yesu... Kanisa liliamia Rome... Kwa wakati ule Rome ndo ilikuwa kila kitu... Ukiweza kuiteka Rome umeiteka Dnia.. Hivyo Kanisa chini ya Mwamba Petro likaiteka Rome... Hivyo Kanisa likaeneo duniani kote(Katolikos) maana Universal...Iliyoenea kote....
Nenda Irael uone Big Shrines, Cathedrals, na Basillicas ni makanisa gani... Hapo ndipo utakapo jua Kanisa Katoliki lilianzishawa na Kristo peke yake..
Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu..
FULL STOP AND LONG BREAK.........Wewe nenfda kasepetuke na kukata mauno huko kwenye hizo frem za biashara mnazoziita makanisa ya kina kakobe na ulokole kwa ujumla..
Roman Catholic wali absorb wauaji wa Yesu na kujifanya eti wao kanisa la kwanza!!! Mbona wanawatambua wapalestina na sio wayahudi ukoo wa Yesu? Wana guilt conciousness .