Mitume na manabii tishio kwa Kakobe,Gamanywa na Fernandes ndio maana wanalalama

Mitume na manabii tishio kwa Kakobe,Gamanywa na Fernandes ndio maana wanalalama

HAo mitume na manabii ni matapeli yenye frem za biashara.. Wanaotumia mtaji wa matatizo ya watu, pamoja na ujinga wao kukwapua pesa....

I wish KAgame angekuwa kiongozi wa nchi hii... Nadhani ungejua nini kingefuata..
Kagane tapeli mkubwa kwenye mambo ya dini yeye kikimbana Cha kumbana huwa anaenda kwa TB Joshua Nigeria kusali
Wakati Tb Joshua Hana mafunzo ya chuo chochote Cha dini Hana hata certificate ,diploma Wala degree ya dini
 
Mfano kwa Lazaro na alimfufua kwa hiari yake Wala hakuna aliyemuomba alijisikia kufufua akafufua.
ACHA UONGO!!!!
Soma hapa

Yoh 11:21-22
21Martha akamwambia Yesu, "Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa! 22Lakini najua kwamba hata sasa chochote utakachomwomba Mungu, atakupa." 23Yesu akamwambia, "Kaka yako atafufuka

Yoh 11:32-39 endelea mwenyewe huko
. 32Basi, Maria alipofika mahali pale Yesu alipokuwa na kumwona, alipiga magoti, akamwabia, "Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!" 33Yesu alipomwona analia, na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye wanalia pia, alijawa na huzuni na kufadhaika moyoni. 34Kisha akawauliza, "Mlimweka wapi?" Wakamwambia, "Bwana, njoo uone." 35Yesu akalia machozi. 36Basi, Wayahudi wakasema, "Tazameni jinsi alivyompenda!" 37Lakini baadhi yao wakasema, "Je, huyu aliyemfumbua macho yule kipofu, hakuweza kumfanya Lazaro asife?"

38Basi, Yesu akiwa amehuzunika tena moyoni, akafika kaburini. Kaburi lenyewe lilikuwa pango, na lilikuwa limefunikwa kwa jiwe. 39Yesu akasema, "Ondoeni hilo jiwe!"
 
Kanisa katoliki la mitume litabaki kuwa kanisa la Mungu wa kweli .

Mimi ni mkatoliki na nitabaki kuwa mkatoliki .

Kanisa la mitume, kanisa kenye mfumo imara wa kuendesha shughuli zake.
 
Wayahudi hawakumsulubisha waliomgongomelea msalabani Ni Askari wa kiroma sio wayahudi.Alihukumiwa na Ponsio Pilato mroma kuwa asulubiwe na Askari wa kiroma ndio wali execute judgement ya kuua Yesu.Hakuna myahudi aliyeua Yesu Ni waroma
YAni wewe ni takataka kabisa yani... Aisee kama nchi ndio sampuli ya watu kama nyie.. Kwakweli tunasafari ndefu sana... Ndio maana hayo matapeli kina Kakobe, mwingira wanaendelea kuwakwapua watu tena masikini fedha zao
 
We ni kiazi mbatata kweli, unajua kwann makanisa ya walokole yanaitwa makanisa ya ki pentekoste? Unaijua misingi ya pentekoste? Unaijua misingi ya katoliki? Ukijua hayo hautasema katoliki lilianzishwa siku ya pentekoste
MAkanisa yote ya kilokole pamoja na hayo ya wakina Kakobe na magenge yao, yamwe yanaitwa yakipentekoste au yame yanaitwaje...Wote nyie ni magenge ya matapeli na kichaka cha watu wajinga duniani wasiotaka kutumia akili zao wakisubiri miujiza huku wakimtupia Roho Mtakatifu zigo la kuwatatulia matatizo yako...

We Umeshawahi kuona Shule za Kilokole hata moja zikiingia hata Top 200 hapa nchini... mimi najua walokole wote mara zote huambulia Division Zero na Wakijitahidi sana basi Division 4.... Ndio maana nikasema Wapentekoste sijui walokole ni genge la wajinga duniani... Ni aibu kujiita mlokole
 
Well spoken Kijana watu hawajui tu lakini kale ka neno"Ministry " mwisho huwa kana maanisha huduma na sio kanisa na huwa nashindwa kujua kwa nini kanakuwepoga though huwa ninahisi ni issue ya usajili au ni njia ya kuwavutia wengi wakionesha kwamba anyone from any church can participate without affecting his|her original church worshipping schedule ila wakifika wanakutana na kanisa hehehe jpil to jpili mwisho niseme tu,hawa wajiitao manabii si manabii hawana ibada zenye mguso kwa kweli na confidence yao ni pale saa ya uponyaji hehehe a real trap to most us
Point of Correction hakuna kanisa hata moja hapo hayo uliyoyataja yote ni huduma za maombezi za watu binafsi kwa kifupi makanisa ni machache sana i.e Roman Catholic,Lutheran,Anglican,Morovian,Pentekoste, na Assemblies of God (hapa bila kutenganisha EAGT na TAG) hizo zilizobaki zote ni huduma za maombezi..
 
Kutibu unatumia physical material or liquid kuponya Ni kutumia healing powers .Ni sawa na tofauti ya creating and manufacturing.Creating is making something out of nothing while manufacturing is making something from something
Damu ya Yesu ya nini sasa ikiwa hawaitumii zaidi ya kutumia unga, mafuta, maji na chumvi?

ACHENI UTAPELI.
 
Hivi hayo makanisa yenu huwa yana expire date? Maana wachungaji wanapondana wakati ni matapeli tu Wamarekani wametuharibu sana
Mwenge kakobe alikuwa peke yake akiwika Ghafla akakuta Mtume mwingira huyo kaingia hatua chache toka alipo na maelfu ya waumini akimiliki.hadi ndege na television ujogoo ukaisha ghafla

Gamanywa na Fernandes walikuwa ndio majogoo mbezi Ghafla bin vuu wakakuta Mtume Mwamposya huyu hapa hatua chache toka walipo na anavuma kuliko wao.na kusomba watu kibao Hadi sehemu za kukaa hawana .Wengine kasomba waumini wao

Hi ndio sababu kuu yao wao kuanzisha Vita na mitume na manabii lakini ukweli Ni kuwa Ni frustrations za kuona wamepitwa Ghafla na vijana wa juzi juzi tu

Kifupi wajiandae kwa surprise zaidi .Kanisa Ni dynamic sio static Ukiona wewe umefika kesho utashangaa mtu hata hujui katokea wapi huyo anaku overtake.Ni Kama Daudi alivyo mu overtake Sauli na kuchukua ufalme.Mrithi wa Mfalme Sauli kawaida angekuwa mtoto wa Sauli lakini akakuta Daudi huyo kitoto toka porini hicho kinapeta
 
Back
Top Bottom