Kwanini wanajiita mitume Au nabii?
Sio kweli siku aliyokufa alifufua maelfu makaburi yalipasuka na waliokufa kibao wakafurika jiji la yerusalemu na watu wakawaonaYesu na mbwembwe zoooote, alifufua mfu mmoja tu.... hii ni jeuri na kutokujali au matumizi mabaya ya talanta.
Neno la Mungu bill miujiza Ni utapeli mtupu.Mungu akiongea muujiza lazima utokee.Biblia inasema mitume walipohubiri Mungu akalithibitisha neno kwa ishara na miujiza.Neno linathibitishwa kwa ishara na miujiza sio porojo za maneno hewa yaliyojaa misamiati ya maneno ya kigiriki nk utasikia porojo ohhhh Roho mtakatifu kiyunani Anaitwa Theotokos wakati kazi zake za miujiza Wala hazionekani.Dini zenye mlundikano wa mineno migumu ya doctorines watu wamechoka.Wamechoka hadithi za mafumbo ya imani na Theotokos wanataka kuona miujiza kwenye maisha yaoMtakufa kwa kufuata miujiza someni neno!! kuweni na imani juu ya ilo zingine mbwembwe
Yesu Mwenyewe aliendesha huduma za maombezi tu hakuacha Kanisa.Aliacha huduma za maombezi na kufungua waliofungwa na pepo.Ni wapi Yesu alianzisha kanisa la Roman katoliki,Lutheran,TAG,EAGT,Anglikan au Moravian?Point of Correction hakuna kanisa hata moja hapo hayo uliyoyataja yote ni huduma za maombezi za watu binafsi kwa kifupi makanisa ni machache sana i.e Roman Catholic,Lutheran,Anglican,Morovian,Pentekoste, na Assemblies of God (hapa bila kutenganisha EAGT na TAG) hizo zilizobaki zote ni huduma za maombezi..
KAnisa ni moja tuu.... Ni Kanisa Katoliki la Mitume... Full Stop and Long Break.... Hilo ndio Kanisa alilolianzisha Yesu Kristo peke yake chini ya Petro..Ni wapi Yesu alianzisha kanisa la Roman katoliki,
Wakati Yesu mwenyewe aliitwa/jiita mwalimu.Kwanini wanajiita mitume Au nabii?
Mtoto wa yule Mama mjane na LazaroYesu na mbwembwe zoooote, alifufua mfu mmoja tu.... hii ni jeuri na kutokujali au matumizi mabaya ya talanta.
Kutibu unatumia physical material or liquid kuponya Ni kutumia healing powers .Ni sawa na tofauti ya creating and manufacturing.Creating is making something out of nothing while manufacturing is making something from somethingSomeni Yohana 5:1-15
Kiswahili ni lugha yetu, mnashindwa
kutofautisha KUPONYA na KUTIBU
Ila kakobe ndo wa mwanzoni kabisa na kina Moses Kulola,naona hawa wapya wamekuja na mafuta,vitambaa na ahadi kemi kemi za maisha mazuri tu.Kakobe alianza nayo miujiza baadaye ikayeyuka hewani
Yesu kanisa lake aliamzisha uyahudi sio Roma Italia.Kanisa la kwanza lilianzia Israel siyo Roma Italia.Petro alichaguliwa kiongozi wa mitume na Yesu Uyahudi sio Roma Italia ndio maana madhehebu yote ya Wakristo huenda kuhiji Israel hawaendi Roma Italia.Sababu mwanzilishi wa Ukristo alizaliwa ,kuanzisha Ukristo na kufia Israeli .Yesu mwanzilishi wa Ukristo hakufia Roma Italia.Waliomuua Yesu Ni waroma wa Italia.Ponsio Pilato aliyemhukumu Yesu kufa alikuwa mroma wa Italia.Na Askari wa Roma Italia ndio walompiga Yesu kumtesa na kumsulubisha Yesu msalabani na kumuua kwa kumchoma mkuki.KAnisa ni moja tuu.... Ni Kanisa Katoliki la Mitume... Full Stop and Long Break.... Hilo ndio Kanisa alilolianzisha Yesu Kristo peke yake chini ya Petro..
Na maisha mazuri yanapatikana kwa mafuta,vitambaa nk ndio maana utakuta hata nafasi ya kupaki gari hupati ukienda nalo.Ila kakobe ndo wa mwanzoni kabisa na kina Moses Kulola,naona hawa wapya wamekuja na mafuta,vitambaa na ahadi kemi kemi za maisha mazuri tu.
Una akili ndogo sana... Kanisa Katoliki limeanzia Jerusalem siku ile ya Pentekoste.. Baada ya hapo kutokana na sababu mablimbali hasa ukatili wa Wayahudi kwa wafuasi wa Yesu... Kanisa liliamia Rome... Kwa wakati ule Rome ndo ilikuwa kila kitu... Ukiweza kuiteka Rome umeiteka Dnia.. Hivyo Kanisa chini ya Mwamba Petro likaiteka Rome... Hivyo Kanisa likaeneo duniani kote(Katolikos) maana Universal...Iliyoenea kote....Yesu kanisa lake aliamzisha uyahudi sio Roma Italia.
Kanisa la Roma halikuanzia Uyahudi week acha hizo na uache porojo za kukariri dini.Wayahudi madhehebu yote ya kikristo wasio waroma wanawaheshimu na wanajua hawakumsulubisha Yesu .Kanisa katoliki Lina ubalozi palestina na huwatetea wapalestina adui wa wayahudi.Haluwapendi wayahudi kwa taarifa yako .Na sababu Ni rahisi tu uongo wake wa kanisa katoliki kuwa wayahudi ndio walimhukumu Yesu,kumtesa,na kumuua msalabani madhehebu mengine yaligoma kutambua huo uongo kuwa waroma ndio wahusika wakuu wa mauaji ya Yesu na jaji wao mrumi ponsio Pilato na Askari wao waroma.Una akili ndogo sana... Kanisa Katoliki limeanzia Jerusalem siku ile ya Pentekoste.. Baada ya hapo kutokana na sababu mablimbali hasa ukatili wa Wayahudi kwa wafuasi wa Yesu... Kanisa liliamia Rome... Kwa wakati ule Rome ndo ilikuwa kila kitu... Ukiweza kuiteka Rome umeiteka Dnia.. Hivyo Kanisa chini ya Mwamba Petro likaiteka Rome... Hivyo Kanisa likaeneo duniani kote(Katolikos) maana Universal...Iliyoenea kote....
Nenda Irael uone Big Shrines, Cathedrals, na Basillicas ni makanisa gani... Hapo ndipo utakapo jua Kanisa Katoliki lilianzishawa na Kristo peke yake..
Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu..
FULL STOP AND LONG BREAK.........Wewe nenfda kasepetuke na kukata mauno huko kwenye hizo frem za biashara mnazoziita makanisa ya kina kakobe na ulokole kwa ujumla..