Mitume na manabii tishio kwa Kakobe,Gamanywa na Fernandes ndio maana wanalalama

Kanisa la Roma halikuanzia Uyahudi wee acha hizo na uache porojo za kukariri dini.imadhehebu yote ya kikristo wasio waroma wanawaheshimu Sana wayayudi na wanajua hawakumsulubisha Yesu .Kanisa katoliki Lina ubalozi palestina na huwatetea wapalestina adui wa wayahudi.Haliwapendi wayahudi kwa taarifa yako .Na sababu Ni rahisi tu uongo wake wa kanisa katoliki kuwa wayahudi ndio walimhukumu Yesu,kumtesa,na kumuua msalabani madhehebu mengine yaligoma kutambua huo uongo kuwa waroma ndio wahusika wakuu wa mauaji ya Yesu na jaji wao mrumi ponsio Pilato na Askari wao waroma.

Roman Catholic wali absorb wauaji wa Yesu na kujifanya eti wao kanisa la kwanza!!! Mbona wanawatambua wapalestina na sio wayahudi ukoo wa Yesu? Wana guilt conciousness .
 
Lord have mercy
 
Sijaelewa point yako ni nini hasa, nimesoma Mara mbili sijaelewa!!
 
Sijaelewa point yako ni nini hasa, nimesoma Mara mbili sijaelewa!!
Hao watatu Gamanywa,Kakobe na Fernandes Wameanzisha kampeni Kali ya kuwapinga mitume na manabii kupitia kitu kinaitwa Jukwaa la kumhubiri Kristo ndio nikaeleza kilichowasukuma kupinga Ni Nini?
 
Okay , kanisa ni nini ?
 
Hapana, hata hao wengine wanaweza kuanzisha sioni dhambi
Hao watatu Gamanywa,Kakobe na Fernandes Wameanzisha kampeni Kali ya kuwapinga mitume na manabii kupitia kitu kinaitwa Jukwaa la kumhubiri Kristo ndio nikaeleza kilichowasukuma kupinga Ni Nini?
 
Hao watatu Gamanywa,Kakobe na Fernandes Wameanzisha kampeni Kali ya kuwapinga mitume na manabii kupitia kitu kinaitwa Jukwaa la kumhubiri Kristo ndio nikaeleza kilichowasukuma kupinga Ni Nini?
HAo mitume na manabii ni matapeli yenye frem za biashara.. Wanaotumia mtaji wa matatizo ya watu, pamoja na ujinga wao kukwapua pesa....

I wish KAgame angekuwa kiongozi wa nchi hii... Nadhani ungejua nini kingefuata..
 
Wote WAFANYABIASHARA na WEZI wanaotumia BIBLIA kujitajirisha. Nasema WOTEEEE sio Waulaya...America...Africa....Asia.....
Na ndio maana Mzee wa upako alipoona usanii wake unampa utajiri kwa Ujinga wa kondoo...akatamka haya " Kuwa Masikini ni Ufala"
 
Na ndio maana nika kwambia kama Romans ndio walimuua Yesu basi Biblia yote ni uongo... Maana si unajua biblia ni kitabu kilichotengenezwa na wakatoliki...? Au unaelewa nini pale Yesu aliposema jiwe walilokataa waaashi sasa limekuwa jiwe kuu la pembeni.../

Hebu niambie zile sababu tatu za msingi ambazo MAfarisayo walijenga hoja kutaka Yesu asulubiwe..??? Au Mafarisayo, Waeseni , Waaandishi na Masadukayo, Waerode wote walikuwa Waroma..???? Umeachanganyikiwa wewe...???

Nahisi wew unamatatizo ya ubongo na pengine katika historia ya familia yenu kuna tatizo la utahira flani... Hivyo naona wewe ni wa kuchuliwa tuu...
 
Wote WAFANYABIASHARA na WEZI wanaotumia BIBLIA kujitajirisha. Nasema WOTEEEE sio Waulaya...America...Africa....Asia.....
Na ndio maana Mzee wa upako alipoona usanii wake unampa utajiri kwa Ujinga wa kondoo...akatamka haya " Kuwa Masikini ni Ufala"
Ofcourse wote ni matapeli tena majangili...
 
Huko kumejaa ushetani mnoo watu hawajui tu, maskini wanapigwa hela vibaya sana na hawasikiii.
 
Umemaliza mkuu...
 
We ni kiazi mbatata kweli, unajua kwann makanisa ya walokole yanaitwa makanisa ya ki pentekoste? Unaijua misingi ya pentekoste? Unaijua misingi ya katoliki? Ukijua hayo hautasema katoliki lilianzishwa siku ya pentekoste
 
Kama Wayahudi hawakumsulubisha Yesu basi Biblia yote ni fraud..
Wayahudi hawakumsulubisha waliomgongomelea msalabani Ni Askari wa kiroma sio wayahudi.Alihukumiwa na Ponsio Pilato mroma kuwa asulubiwe na Askari wa kiroma ndio wali execute judgement ya kuua Yesu.Hakuna myahudi aliyeua Yesu Ni waroma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…