Mitume na manabii wa kileo ni viumbe waliojaa, ghiliba, uroho ubinafsi na uchoyo uliopitiliza

Wakristo wametajwa wapi hapo mbona kama una jipendekeza kwa wakristo,

Hatuhitaji kurwani kuufahamu ukristo biblia imekamilika katika kila eneo katika imani ya ukristo.

Ni kurwani pekee inayotegemea vitabu tofauti ili kuweza kujitetea bila hivyo ni kitabu cha uongo kilichojaa nadharia nafalasafa za uongo uliopindukia,ni mpuuzi pekee anayweza amini kurani.
 
Wamekata tamaa so wamefuata tumaini,niwin wini situation.
 
Kama amefanya hivyo basi anauma na kupuliza ili msishituke.
 
Hawa manabii na mitume wa mchongo wamejaa sana hapa nchini kwa kuwa nchi imesheheni wapumbavu wa kutosha. Wapuuzi hawa huwezi kuwakuta kule Kenya na n nchi nyingine zinazojitambua.
 
Unajua kwanini kina Mwamposa wanateka sana watu!!?
Ni kwasababu anaombea mijibaraka kwa wote, wazinzi, walevi, mashoga, wasagaji, malaya , wezi nyote pale mtapewa mibaraka bila kujali uhusiano wako na Mungu, hutaaswa kuacha ufanyacho na kujikabidhi kwa Mungu kuacha mabalaa yako.

We haijalishi ni mdhambi kiasi gani, hata kama ukitoka kupokea mibaraka ukaenda kufirimbwa bado utautumia udongo/maji/ mafuta ya upako kutatua shida zako bila kufeel guilty ya dhambi uliyofanya.

Ni rahisi kupita njia ya Mwamposa kuliko kujipitisha kwenye tanuri kwa kuacha dhambi zako uzipendazo, ni rahisi tu kwenda kuchukua wese kunyunyiza, sijui kupaka ukinuia kuliko kuacha umalaya na mabalaa yako.
 
Hata siku moja huwezi kumkuta Mwam akikemea matendo machafu yeye Sadaka mbele
 
Hata siku moja huwezi kumkuta Mwam akikemea matendo machafu yeye Sadaka mbele
Hicho ndo wanampendea, watu hawapendi ukweli mkuu.

Na maombi yao makubwa ni kuukemea uchawi na mapepo, vitu ambavyo huwezi viona wala kuthibitisha kua ndiyo vinakuletea matatizo.
Umbali tuliojiwekea na Mungu ndo tatizo, tunataka baraka bila kuacha choyo, tunataka baraka bila kuacha unafiki na umbeya, na vimizigo vingine vidogo vidogo lakini vitamu.
 
Hawa manabii na mitume wa mchongo wamejaa sana hapa nchini kwa kuwa nchi imesheheni wapumbavu wa kutosha. Wapuuzi hawa huwezi kuwakuta kule Kenya na n nchi nyingine zinazojitambua.
Wapuuzi hawa huwezi kuwakuta kule Kenya na n nchi nyingine zinazojitambua.πŸ“ŒπŸ”¨
Hata Rwanda pia hawatii pua kule
 
Hili nadhani acha tu kila Mjinga apigwe atajijua mwenyewe maana hamna anayelazimisha watu kutoa izo sadaka.
 
Bora kondoo kuliko mbwa mwitu mkali aliyemezeshwa mistari ya kuuwa wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…