Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Hayo makundi yote ni ya Mudi na Mudi kashawahakikishia wote Jehanam sasa wanatafutana Kati ya Shia na Suni nani mbaba ili wamuite Mudi wamuulize ila mbaya zaidi Mudi kafa.
Andika vizuri.
 
Hata wewe unayo makosa kama ya Yakobo na mama yake lakini bado yapo mema mengi Mungu anakutendea.
Usinilazimishe uongo wa Yakobo kumdanganya baba yake mzazi kisa macho yana shida, ni jambo la kusikitisha sana
 
Hayo makundi yote ni ya Mudi na Mudi kashawahakikishia wote Jehanam sasa wanatafutana Kati ya Shia na Suni nani mbaba ili wamuite Mudi wamuulize ila mbaya zaidi Mudi kafa.
🤣🤣🤣
 
Kama umesoma vizuri Yesu alijua hali yake na alikusudia kwenda kumfufua tangu alipokuwa mbali.
Hivi unaelewa nnachokuuliza!? Alijua yes, dada wa Lazaro alimwambia..!!! Nakuona jinsi unavyotaka kupindisha hoja
 
Hayo makundi yote ni ya Mudi na Mudi kashawahakikishia wote Jehanam sasa wanatafutana Kati ya Shia na Suni nani mbaba ili wamuite Mudi wamuulize ila mbaya zaidi Mudi kafa.
Mungu alishaweka kanuni namna ya kuipata pepo yake, wewe endelea na makundi wakati kanuni inajulikana
QURAN 4:13 -14
13. Hiyo ni mipaka ya Mwenyezi Mungu. Na anaye mt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, Yeye atamtia katika Pepo zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na huko ndiko kufuzu kukubwa.
14. Na anaye muasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na akaipindukia mipaka yake, (Mwenyezi Mungu) atamtia Motoni adumu humo, na atapata adhabu ya kudhalilisha.

Dhehebu lolote linalo sema kweli kanuni ni 2
1.Mtii Mwenyezi Mungu na mtume wake upate pepo
2.Muasi Mwenyezi Mungu na mtume wake upate kibano
 
Usibishane na Mtume. Mtume kashasema kutakuwa na makundi 73 na ni moja tu litaingia peponi na mengine yote ni Jehanam. Ushajiuluza ni kundigani la peponi na yeye hajalitaja. Alafu usibishane na alieshushiwa Quran.
 
Ni kundi litakalo mtii Allah na mtume wake baasi wala hakuna ugumu hapa labda uwe na kichwa kigumu
 
Yaan anaombewa sana had mm nilijiuliza kila muda tumswalie mtume
 
S.A.W maana ake nn usijfanye kutetea ukaona dini yako ndo inakashifiwa
 
Daah hili swali nilishawah jiuliza sana yaan kila sehem mtume anatajwa
 
Unarukaruka Sana,

Taja katika MADHEHEBU hayo Lipi ni sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…