Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Hayo makundi yote ni ya Mudi na Mudi kashawahakikishia wote Jehanam sasa wanatafutana Kati ya Shia na Suni nani mbaba ili wamuite Mudi wamuulize ila mbaya zaidi Mudi kafa.
Andika vizuri.
 
Hata wewe unayo makosa kama ya Yakobo na mama yake lakini bado yapo mema mengi Mungu anakutendea.
Usinilazimishe uongo wa Yakobo kumdanganya baba yake mzazi kisa macho yana shida, ni jambo la kusikitisha sana
 
Hayo makundi yote ni ya Mudi na Mudi kashawahakikishia wote Jehanam sasa wanatafutana Kati ya Shia na Suni nani mbaba ili wamuite Mudi wamuulize ila mbaya zaidi Mudi kafa.
🤣🤣🤣
 
Mungu alishaweka kanuni namna ya kuipata pepo yake, wewe endelea na makundi wakati kanuni inajulikana
QURAN 4:13 -14
13. Hiyo ni mipaka ya Mwenyezi Mungu. Na anaye mt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, Yeye atamtia katika Pepo zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na huko ndiko kufuzu kukubwa.
14. Na anaye muasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na akaipindukia mipaka yake, (Mwenyezi Mungu) atamtia Motoni adumu humo, na atapata adhabu ya kudhalilisha.

Dhehebu lolote linalo sema kweli kanuni ni 2
1.Mtii Mwenyezi Mungu na mtume wake upate pepo
2.Muasi Mwenyezi Mungu na mtume wake upate kibano
 
Usibishane na Mtume. Mtume kashasema kutakuwa na makundi 73 na ni moja tu litaingia peponi na mengine yote ni Jehanam. Ushajiuluza ni kundigani la peponi na yeye hajalitaja. Alafu usibishane na alieshushiwa Quran.
 
Ni kundi litakalo mtii Allah na mtume wake baasi wala hakuna ugumu hapa labda uwe na kichwa kigumu
 
Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake.

Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa.

Mtume Petro naye alikumbusha kuombea huduma na alipomaliza aliwaambia waumini kwamba wakati umefika kwake kuondoka tena itakuwa kutundikwa juu ya msalaba kichwa kikiwa chini na miguu juu.

Hawa wote wawili walikuwa na furaha na kuondoka duniani kwa uhakika na ushindi. Walikuwa wakiwasisitiza waumini wafuate mfano wao.

Sasa nashangaa kuna nabii eti ni wa mwisho na ndio mkuu kwa wote lakini mpaka sasa anaombewa akiwa amefariki.

Alikwama wapi na nini kimemfanya yeye asiwe na uhakika wa kuingia mbinguni mpaka aendelee kuombewa?

Yaan anaombewa sana had mm nilijiuliza kila muda tumswalie mtume
 
Ukiwa huna uhakika na unachoandika ni BORA KUTOANZISHA UZI....

kwenye Uislam ukisikia anatajwa Mola Mlezi utasikia kwa mfano Allah Subhanah Wataala, akitajwa Mtume utasikia Rehema na Amani ziwe juu yake, wakitajwa mitume wote waliobakia aliwemo mtume wa Allah Issah utakisikia Alayh Salam, wakitajwa maswahaba utasikia Radhiallah Anhu, Waja wema waliotangulia Rahmahullah au waliopo HAI utasikia hafidhallah

Kwa hiyo siyo kweli UNACHOKISEMA KUWA KWENYE UISLAM MTUME ANAOMBEWA MSAMAHA.....

MOLA MLEZI ameweka utaratibu wa kumtukuza YEYE kila anapotajwa au unapotaja jina la Mola Mlezi, kuwatakia salama na amani Waja wema waliotangulia kwa maana waliishi na kumridhisha YEYE na YEYE amewaridhia na wanaombewa mpaka na malaika...

KINYUME CHAKE kwa kila aliyeishi kwa UJABARI NA KUMUASI MOLA MLEZI KAMA FIRAUNI na wote wanaomfuatia basi utasikia yakitamkwa MKASIRIKO YA MOLA MLEZI NA KUWEKWA MBALI NA REHEMA ZAKE baada ya majina yao!!!!

Kwa aliye hai ataombewa UONGOFU ila akifa mwanadamu kati uasi basi hadi Malaika watamwombea Makasiriko ya Mola Mlezi....

HUJAWAHI ONA MTU ANAFARIKI NA WATU WANAFURAHI KUWA WATAPUMZIKA KUTOKANA NA MAUDHI AU DHULMA ZAKE???? Au MWINGINE ANAFARIKI KILA YUALIA KUTOKANA NA WEMA WAKE KWA WATU???

Basi jua vivyo hivyo kwa wanadamu na Mailaka kumwombea aliyefariki au hata aliye HAI...

S.A.W maana ake nn usijfanye kutetea ukaona dini yako ndo inakashifiwa
 
Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake.

Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa.

Mtume Petro naye alikumbusha kuombea huduma na alipomaliza aliwaambia waumini kwamba wakati umefika kwake kuondoka tena itakuwa kutundikwa juu ya msalaba kichwa kikiwa chini na miguu juu.

Hawa wote wawili walikuwa na furaha na kuondoka duniani kwa uhakika na ushindi. Walikuwa wakiwasisitiza waumini wafuate mfano wao.

Sasa nashangaa kuna nabii eti ni wa mwisho na ndio mkuu kwa wote lakini mpaka sasa anaombewa akiwa amefariki.

Alikwama wapi na nini kimemfanya yeye asiwe na uhakika wa kuingia mbinguni mpaka aendelee kuombewa?

Daah hili swali nilishawah jiuliza sana yaan kila sehem mtume anatajwa
 
Kwa masikitiko makubwa katika hayo 73 umetaja dhehebu ni moja tu, hayo mengine si madhehebu bali ni mapote.

Nakuacha na swali, utakuja kutuambia nini maana ya Dhehebu.

Hadithi hiyo ya mtume iliyotaja mayahudi watagawanyika makundi 71, wakristo makundi 72 na waislamu makundi 73 yote hayo yataingia motoni ila moja, kisha maswahaba wakamuuliza mtume ni kundi gani hilo litaingia peponi, mtume akawatajia sifa ya kundi hilo.

Mtume alitaja mapote/makundi hakitaja madhehebu. Sasa inabidi utuambie hii maanay madhehebu umeipata wapi na kwanini umeihusisha na hadithi hii ya Mtume...?

Lakini, wanazuoni wanasema mtume alitumia wingi huo wa makundi 73 kuwasilisha wingi lakini makundi yapo zaidi ya 73.

Hivi unajisikiaje kuandika maneno yote haya halafu ukawa umeandika uongo tupu ?

Someni vijana tena someni sana.
Unarukaruka Sana,

Taja katika MADHEHEBU hayo Lipi ni sahihi
 
Back
Top Bottom