hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Swali UNAMUOMBEAJE MFU /MAREHEMU APATE REHEMA NA AMAN?Maombezi sio jambo la kukurupuka, ni matokeo ya kazi nzuri uliofanya duniani, kama mtoto dini ulikuwa unaacha kumuelekeza sasa atakuombea vip dua? ukiona watu wanaomba dua ujue ni matokeo ya kazi nzuri za hao watu walipokuwa duniani, kama mimi namuombea sheikh wangu kwa kunipa elimu hii murua kabisa, ukiona vyaelea vimeundwa
ALIPOKUWA HAI ALIKUWA WAPI KUJIANDAA?
SWALI KABLA HUJASWALIWA
ACHENI UJINGA WA KUOMBEA WAFU ,ACHENI IBADA ZA WAFU
HAYA NI MAFUNDISHO YA ROMAN CATHOLIC
WAZEE WA PURGATORY AU TOHARANI
UTAANZA KUELEWA KUWA UISLAMU ULIANZISHWA NA ROMAN CATHOLIC
Biblia. Kumbukumbu la Torati 18:10-11
[10]Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,
[11]wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
Mungu alipiga marufuku wabashiri lakini Mohammad anajiita mbashiri
Alipiga marufuku kuwaomba wafu lakini maislam yanaendelea kuwaomba makaburini