Muccigang
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 1,313
- 1,918
Unifahamu vyema.
Kwani Mungu si alijua kuwa Ibilisi shetani atamuasi tokea anamuumba?
Lakini kwa nini alimuacha akaja kutimiza dhamira yake ile kwa Baba yetu Adamu?
Kisha akamuhukumu adamu kwa dhambi ya Kula mti na kuwa na dhambi ya Asili?
Hekima ya Mungu si ile ya Binadamu.
Ukijuwa siri ya tukio la Ibilisi utajuwa kuwa Mungu alimbakiza kutoka kwa Majini waliokuwa kabla ya Mwanadamu kuumbwa.
Hatimae Ibilisi akiwa Kitoto akachukuliwa na Malaika akawekwa mbinguni pamoja na malaika.
Pamoja na Neema hii, Ibilisi alimkanusha Mungu kwa kumpinga amri yake na kujifanya anajua zaidi.
Mungu alimlaani na kumfukuza kwenye Rehema zake.
Kisha akamruhusu ampoteze Baba yetu ili iwe funzo kwetu kuwa Shetani atakuwepo nasi na atafanya uadui.
Mungu alienelea kumuachia aishi hadi siku ya Mwisho.
Ukhoji utasema Mungu katucheza shere?
Laa sivyo,huu ni mpango wake na Hekima yake .
Mungu anamkumbatia shetani always