Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Allah kasema lilitokea wewe unambishia au , embu weka wazi
Mimi sina shaka na maandiko yetu, swali bado hujajibu kwa mujibu wa imani yako.

Shukrani kwa kushiriki, mimi kazi yangu nimemaliza.
 
Kama lugha ngumu kwako sema , hayo ndio majibu

Kijana naona biblia hauielewi halafu unakimbilia Qur'an. Umeshindwa kutoa tafsiri hata inayoendana na ukweli. Huyo muanglikana wa juzi juzi hakuna alichojibu😀. Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa. Sio maneno yangu.​

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
 
nimeshalotolea ufafanuzi.

, jinu liko wazi, wao walijua ni Yesu, ndiyo
Umekiri waliona , Allah kakiri waliona Yesu msalabani , unataka ushahidi wa nani zaidi 😂😂😂😂
 
Mimi sina shaka na maandiko yetu, swali bado hujajibu kwa mujibu wa imani yako.

Shukrani kwa kushiriki, mimi kazi yangu nimemaliza.
Tumemaliza , tukio lilitokea na watu waliona na kuandika walicho ona
 
Kama lugha ngumu kwako sema , hayo ndio majibu
We weka hata link ya kifaransa ila tunataka majibu humu.

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
 
Tumemaliza , tukio lilitokea na watu waliona na kuandika walicho ona
Utamaliza siku ambayo utaleta majina matano na utuambie kwa mujibu wa Biblia Yesu alisulubiwa au la, alikufa na akafufuka.

Nimemaliza.
 
Majina matano ya Nini wakati Koran imekupa majibu kwamba waliona kasulubiwa , embu tuliza akili ata wewe ungekuwa pale ungeona kasulubiwa inamaana wanao sema kasulubiwa ni WA kweli maana wanaandika kitu walichoona
 
Mpaka leo hii umesema Al jallayn na inb abas ni vitabu vya uongo , unaelekea pazuri kumkiri Yesu
 
Utamaliza siku ambayo utaleta majina matano na utuambie kwa mujibu wa Biblia Yesu alisulubiwa au la, alikufa na akafufuka.

Nimemaliza.
Nakuongeza swali , huyu aliefananishiwa akawa anafanana kila kitu na Yesu alikuwa nani? Identity yake
 
Weka hapa hao wengine wasiokuwa waisraeli.
Kama Vitabu vya dini vimesita kulizungumzia jambo, elea halina maslahi kwako wewe muumini.
Ridhika na Maneno ya Mwenyezimungu aliposema,
Nimetuma waonyaji kwa kila Taifa, ili watu wjuwe kuwa Kuna Mungu MMOJA na kuna siku ya Hukumu.
 
Tungeanza na muhammad utuambie Kwa Nini hakutahiriwa , alikuwa govinda
Wewe unakwepa mada, Jibu kama Hujatahriwa ueleze ni kwa nini wakati wewe unadai ni mfuasi wa Yesu?
 
Majina matano ya Nini wakati Koran imekupa majibu kwamba waliona kasulubiwa , embu tuliza akili ata wewe ungekuwa pale ungeona kasulubiwa inamaana wanao sema kasulubiwa ni WA kweli maana wanaandika kitu walichoona
Jibu swali nililo kuuliza.
 
Wewe unakwepa mada, Jibu kama Hujatahriwa ueleze ni kwa nini wakati wewe unadai ni mfuasi wa Yesu?
Tuanze na unae muamini kwa nini hakuna andiko alitahiriwa na kwa nini alikuwa govinda
 
Back
Top Bottom