Tukio liliwekwa kwenye kumbukumbu kijana maana umekiri waliona Isa bandia kama original , huu uongo wa Allah ni WA kuupinga kwa nguvu zoteUnapotaja majina unaweka na andiko lenu kutikia nguvu hicho ulichosema.
Sababu historia inasema wanafunzi wa Yesu hawakuzidi hata 120, na kutokana manyanyaso ilikuwa ngumu kuelezea au kueneza Injili ya nabii Issa (Yesu) sababu ilikuwa ikisikika tu unauliwa.
Bado hujajibu maswali niliyo kuuliza. Nimekaa hapa nasubiri majibu ya maswali yangu.