Kijana nimekwambia ruka utakavyo ruka ila maswali yangu lazima uyajibu. Suala miaka nimeshalielezea huko nyuma na hiyo si hoja ya msingi, hata ingekuwa miaka elfu, Allah anafanya analo litaka, na huleta mtume na manabii kwa haja, soma huko nyuma nilielezea hili. Sasa usilete usanii ukaona hii nayo ni hoja ambayo nimeshaiweka wazi huko nyuma.
Maswali yangu ni yale yale tuambie kwa mujibu wa imani yenu ambayo mnaamini Yesu amesulubiwa, kina nani walishuhudia, n habari za Yesu, Yohana amezipata wapi ?