Bw.
Championship na Bw.
Mokiti
Nawasalimu kwa jina la Mungu aliye umba Mbingu na Ardhi,Wanyama ,Bahari na vitu vyotetuvijuavyo na tusivyovijua .
Namsifu Mungu huyo Muumba na Namshukuru kwa Rehema zake kwetu Mimi na Nyiyi wote .
Namshukuru kwa kutujaalia Afya ,Utlivu na Uvumilivu baina yetu.
Mungu akimtakia mtu Kheri Humuongoza katika Nuru yake na kumpa ufahamu wa Ile Kweli,
Namuomba Mungu Huyo Akupeni Nyinyi na mimi uwezo wa kumjuwa, kumuabudu na kumsifu vile inavyostahiki.
Natarajia mutafutilia bango langu No
#846 hapo juu.
kama mumekwazika musione tabu kunifuatilia.
Illa nawaaga, nakwenda kwenye Nyumba Tukufu ya Meccka pale alipopelekwa Mama yetu Hagar na Mwanawe Ismail aliyebarikiwa sana na sana na sana nakufanywa kuwa TAIFA KUU .Nakwenda kwenye Kisima Kile alichonywesha maji Ishmael na Malaika wa Bwana Mungu wa Ibrahim.
Nitachukua Majiyale, ili na nyiyi wapendwa mukitamani niwaonjeshe ilimuweze kupata baraka tele ya maji ya kisima kile cha kale.
Leo usiku nitaondoka kwenda safari hiyo TUKUFU sanakuliko Safari zote Ulimwenguni.
Naitika Mwito wa Mungu Muumba aliotuita kwenda pale na kufanya Ibada maalumu katika mji ule.