Unatakiwa uulize baada ya kujibu maswali yangu. Soma tena maswali yangu yanataka nini kisha ujibu.Nimekuuliza walio ona na kuandika walicho ona je ni waongo au wa kweli ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakiwa uulize baada ya kujibu maswali yangu. Soma tena maswali yangu yanataka nini kisha ujibu.Nimekuuliza walio ona na kuandika walicho ona je ni waongo au wa kweli ?
Kwanini unaandika uongo na hiogopi ? Ungekuwa unaleta tafsiri zetu singekuwa unakosea wala kukimbia maswali tunayokuuliza.Kuna kitu kinakushinda kijana jifunze kabla Hujaleta andika nenda kasome commentary ya wakristo hujue Aya inaongea nini , Mimi sijawahi leta Aya humu kabla sijasoma tafsir za waislamu nijihakikishie waislam wanasemaje kuhusu Aya, nakushauri kuliko kurudia rudia Verse kasoma commentary ya wakristo alafu rudi
Tangu lini mkawa na commentary😀? We si ulidai biblia inaeleweka? Unipe maana nyingine ya kulaaniwa.Kuna kitu kinakushinda kijana jifunze kabla Hujaleta andika nenda kasome commentary ya wakristo hujue Aya inaongea nini , Mimi sijawahi leta Aya humu kabla sijasoma tafsir za waislamu nijihakikishie waislam wanasemaje kuhusu Aya, nakushauri kuliko kurudia rudia Verse kasoma commentary ya wakristo alafu rudi
Kama unjua Lugha utagundua kuwa Isaya ametabiri Kweli kabisa.halafu uniambie kama hayo yaliandikwa na Paulo mtume.
Mungu alikuwa akileta manabii kwa kila taifaQuran haiwezi kumtetea muhammad kama mtume aliyekuja from nowhere? Manabii na mitume wote wa zamani walikuwa wayahudi, huyu mwarabu katokea wapi?
Kama hivi ndivyo unavyotafsiri maandiko basi kweli quran imekupa upofu mkali.Kama unjua Lugha utagundua kuwa Isaya ametabiri Kweli kabisa.
YaaniMtoto huyo hatokwa hivyo watu walivyo mwita.
Isaya alibaini upotevu wa akina Paulo watakaomwita Yesu Mungu kitu ambacho si sahihi.
Naye ataitwa jina
lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele , Mfalme wa amani.”
Wanautatu wengi hutumia fungu hili kudai kwamba yesu ni Mungu. Huu ni opotevu lakini isya alitabiri litakalotokea baadae.
Ukweli ni Maneno ya yesu mwenyewe na Mlaika
neno ya malaika yametofautiana na Isaya, kuoesha kuwa waliomwita hivyo wamekosea sio kupatia huko.
Mt 1:21 SUV
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
Nitajie manabii na mitume wengine kwenye uzao wa Ishmael.Mungualikuwa akileta manabii kwa kila taifa
Lakini aliwataja kwenye Maandiko hawa wa Middle east.
Mungu alimeta Muhammad kutoka kwenye Uzao wa Ismail kutoka kwa Ibrahim.
jiongeze kielimu Bw Chanpionship
Kwanini nisiwe nimetahiriwa? What's so special about kutahiriwa kimwili? Hilo ni jambo la kiafya na kila jamii iliyostaarabika inafanya tohara.Nilimuuliza Mokit .
yeye ametahiriwa ili awe ameingia kwenye agano lile la Ibrahimu,?
Naona kakwepa na kusepa.
Sasa sijui wewe Champion Umetahiriwa kama Bw. yesu?
Auna wewe ndo wale wale?
HakunaNitajie manabii na mitume wengine kwenye uzao wa Ishmael.
Mwanzo 17:Kwanini nisiwe nimetahiriwa? What's so special about kutahiriwa kimwili? Hilo ni jambo la kiafya na kila jamii iliyostaarabika inafanya tohara.
Ndani ya Kristo Yesu tohara ni katika moyo, sio kimwili.
Uislam ni dini ya mwilini ndio maana mnawaza ngono hadi ahera.
Basi jibu unalo. Endelea kumfuata huyo muhammad na mafundisho yake aliyovumbua.Hakuna
Hakuna siku unaweza kutetea imani yako bila kutegemea biblia?Uisalamu ni dini Ya Ibrahimu na ini ya Yesu pia
Naweza, sanaHakuna siku unaweza kutetea imani yako bila kutegemea biblia?
Unajaribu kuchekesha.🤣🤣 Paulo anafahamika na kanisa tangu Yerusalemu. Alifahamiana na mitume wote katika nyakati zake.YESU NAYE KUFUATA AGANO LA MUNGU kutoka kwa Ibrahimu.
Lakini Wakiristo wa leo wasema hali wahusu,
Kweli nyinyini ni wafuasi wa Yesu?
Ndo maana Hamufuatimafundishoyake.
Munamfuata SAULU Nabii wa kujitweza mwenyewe, hakuwahikuwa Mwanafunzi wa Yesu ,
Na yeye ndiye aliye anzisha Ukiristo pale Antiokia
Kwa hiyo wewe ndiyouna hukumu hivyo kuwa Mungu hakutuma BNabii kwa watu wengine isipokuwa kwa Israeli tu?Unajaribu kuchekesha.🤣🤣 Paulo anafahamika na kanisa tangu Yerusalemu. Alifahamiana na mitume wote katika nyakati zake.
Muhammad ndio mtu wa kujikweza from nowhere. Hakuna nabii au mtume mwarabu.
Weka hapa hao wengine wasiokuwa waisraeli.Kwa hiyo wewe ndiyouna hukumu hivyo kuwa Mungu hakutuma BNabii kwa watu wengine isipokuwa kwa Israeli tu?
Ni wapi aljallalyn akiwa tafsir ya wakristo, ibn abas na huwa naweka kabisa ni tafsir ya naniKwanini unaandika uongo na hiogopi ? Ungekuwa unaleta tafsiri zetu singekuwa unakosea wala kukimbia maswali tunayokuuliza.
Humu huwa unaleta maana zenu wenyewe toka kwa wakubwa zako wanao jidai wameusoma Uislamu na huku hawaujui, mwisho wa siku tunakuuliza maswali hujibu unakimbia na kuruka ruka kama hivi.
Tungeanza na muhammad utuambie Kwa Nini hakutahiriwa , alikuwa govindaNilimuuliza Mokit .
yeye ametahiriwa ili awe ameingia kwenye agano lile la Ibrahimu,?
Naona kakwepa na kusepa.
Sasa sijui wewe Champion Umetahiriwa kama Bw. yesu?
Auna wewe ndo wale wale?