ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Sisi tunaishi ili tutimize mapenzi ya Mungu hapa duniani na sio Mungu atimize mapenzi yetu. Ukisoma Biblia utaona kuwa manabii wote walikua wanatumwa kwa Kazi maalum na Mungu hakuwapa maandiko ya kutimiza haja zao za kimwili isipokua kumtukuza yeye.
Tukija kwa Muhammad no habari nyingine, Allah alikua anatimiza matamanio ya kimwili ya Muhammad, Allah anashauriwa ashushe verse kuhusu mambo flani flani. Mfano huu hapa mpaka mkewe mtoto kipenzi akalalamika kwamba inaonekana Allah yuko faster kukutimizia haja zake za kimwili.