Katika MADHEHEBU ya kiislam ,Ni Lipi sahihiAcha Kukurupuka Mtume Ametaja Kundi Litakalo Ingia Peponi Kuwa na Lile Litakalofata Uislam Na Mafundisho Yake Kwa Usahihi Kwamaana Ya Kuwafata na Mas'haba Wake Waongofu.
Kwanini wewe unaweka profile picha ambayo hujajifunika kichwa? Huo ndio uislamu?S.A.A.W...
Mada hii inauliza swali rahisi, kwanini kipenzi cha allah aombewe ilhali yupo ahera kwa allah?Kila Tamaduni Zina Taratibu Zake Usifosi Zifanane.
Hata Ile Kauli Ya Bwana Asifiwe Ni Maombi Pia Ndio Maana Wanajibu Ameeen Au Milele Amina
Kwani Hilo Neno Lina Faida Gani Kwa Huyo Bwana Wenu..?
Hapo umetaja dhehebu mona tu kijana, hayo mengine umetaja ni mapote na dini ambazo zinajinasibisha na Uislamu.Unarukaruka Sana,
Taja katika MADHEHEBU hayo Lipi ni sahihi
Kati ya hayo ni lipi?Acha Kukurupuka Mtume Ametaja Kundi Litakalo Ingia Peponi Kuwa na Lile Litakalofata Uislam Na Mafundisho Yake Kwa Usahihi Kwamaana Ya Kuwafata na Mas'haba Wake Waongofu.
Na akala bakora za adabu toka kwa viumbe wake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesu ni Mungu aliyehai na rafiki wa karibu. Ameumba vyote unavyoona na usivyoona. Mungu huyu alivaa mwili ili kuwakomboa wanadamu.
Hamna tatizo kwasababu alikuwa na mwili. Na kwa kupigwa kwake tumepona.Na akala bakora za adabu toka kwa viumbe wake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msalie Mtume.Aliyekudanganya kuwa tunamuombea Mtukufu wa Daraja na Nuru ya Ulimwengu wote ni nani?
Mimi nina asili ya upande wa pili [born and raised in conservative Christian family], bado naendelea kujifunza na kila siku nafundishwa.... naamini nitaendelea kuimarika kila kukicha na nitakuwa bora zaidi....Kwanini wewe unaweka profile picha ambayo hujajifunika kichwa? Huo ndio uislamu?
Hii kubwa,Hapa utaanza mjadala mpya lakini ukweli uliodhahiri ni kwamba Bwana Yesu Kristo ndiye Mungu Mwenyenzi, muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyopo, vinavyoonekana na visivyoonekana.
Oh aisee, kipi kilikufanya ukauacha wokovu wa Yesu Kristo hadi ukaenda kuwa muislam?Mimi nina asili ya upande wa pili [born and raised in conservative Christian family], bado naendelea kujifunza na kila siku nafundishwa.... naamini nitaendelea kuimarika kila kukicha na nitakuwa bora zaidi....
Natumai Mola Mlezi ataendelea kuniongoza mpaka ifikie niache hadi KUPIGA PICHA.... siku Apple, Samsung wataanza kutengeneza simu zisizo na CAMERA.....
Si unaona mwingine kapiga mtu risasi saba kisa mapenzi wakati dini inaruhusu kutoa talaka na hata kuoa wanne?Watu wa mnyaazi aka mola mlezi mbona mna hasira sana na mleta mada na hajataja dini yenu?
Yesu binadamu (kumbuka Yesu Kristo inamaanisha binadamu na Mungu katika mwili) alikuwa anamuomba Baba yake ambaye ni Mungu wa milele.Hii kubwa,
mtu aliyekuwa mwenyewe akimuomba Mungu ampe msaada, wewe wamwita MUNGU!
Mungu ni mkarimu sana, ukimuombea mtu mwema, basi faida inarudi kwako mwenyewe.Akiombewa kule aliko anapata faida gani? Ningependa kuzijua.
Sala inaenda namna hii hapa kwenye msikitini wa jirani. "Watukufu waislamu tumswalie mtume, allah akbar, tumuombee rehma kwa mwenyenzi mungu". Kwanini anaombewa rehema wakati ni kipenzi cha allah na tayari yupo ahera?Mungu ni mkarimu sana, ukimuombea mtu mwema, basi faida inarudi kwako mwenyewe.
Unalipwa sawa na ulivyo muombea bila ya yeye kupunguziwa.
kumuombea mwenzako kheri ,unaanza kupata wewe kheri ile.
Kwani huja nielewa?Sala inaenda namna hii hapa kwenye msikitini wa jirani. "Watukufu waislamu tumswalie mtume, allah akbar, tumuombee rehma kwa mwenyenzi mungu". Kwanini anaombewa rehema wakati ni kipenzi cha allah na tayari yupo ahera?
Wakatoliki ndio walianzisha mecca na dini yake. Nyie mna muhammad na wao wana bikira maria. Katoliki sio kanisa na halijawahi kuwa kanisa la Yesu Kristo.Kwani huja nielewa?
Sisi ndio wenye shida ya Rehema hizo zaidi na zaidi.
Okiomba na wewe unapata, ukiacha hupati kitu.
Kwa hiyo ni aina tuu ya fomula ya kiibada.
Kwani wewe ukiimba na kumuomba Mungu ampe Maria baraka unakuwa unakosea wapi, ?
Si unakuwa unajipendekeza tuu kwa Mungu ili akupende kwa kumtanja Mpenzi wake?
Mambo ndo hivyo.
Neno bwana, hlijui maana yake wewe, Bwana anaweza kuitwa mtu mzima yeyote, hata mimi ni bwana.Kuombea mfu ni upagani, ni usheitwani!
YESU ndiye BWANA