Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Acha Kukurupuka Mtume Ametaja Kundi Litakalo Ingia Peponi Kuwa na Lile Litakalofata Uislam Na Mafundisho Yake Kwa Usahihi Kwamaana Ya Kuwafata na Mas'haba Wake Waongofu.
Katika MADHEHEBU ya kiislam ,Ni Lipi sahihi
 
Kila Tamaduni Zina Taratibu Zake Usifosi Zifanane.

Hata Ile Kauli Ya Bwana Asifiwe Ni Maombi Pia Ndio Maana Wanajibu Ameeen Au Milele Amina

Kwani Hilo Neno Lina Faida Gani Kwa Huyo Bwana Wenu..?
Mada hii inauliza swali rahisi, kwanini kipenzi cha allah aombewe ilhali yupo ahera kwa allah?
 
Unarukaruka Sana,

Taja katika MADHEHEBU hayo Lipi ni sahihi
Hapo umetaja dhehebu mona tu kijana, hayo mengine umetaja ni mapote na dini ambazo zinajinasibisha na Uislamu.

Madhehebu katila Uislamu ni haya :

1. Hanafiya
2. Malikiya
3. Shaafiiya
4. Hanbaliya

Mengine si maarufu na yalishapotea ambayo ni :

5. Thauriya
6. Zaydiya
7. Dhahiriya

Sasa najiuliza imekuwaje mpaka ukaweka makala nzima na hujui maana ya "Dhehebu" ni nini ? Huu ni ujinga ulio komaa mno. Yaani unaweka makala, ianonekana umecopy na ku paste humu, na huyo muandishi naye kichwa mchunga tu kama wewe, kwahiyo mmekutana nyote "Pipa na Mfuniko".

Kwahiyo hapo umetaja dini za watu wanao jinasibu na Uislamu na ukataja makundi ya kizushi yanye kufanya kufuru kama vile Masufi, Ahmadiya siyo Waislamu, Mashia kadhalika na ukataja mapote katika dini ya USHIA kama vile Ismailiya na mengine.
 
Acha Kukurupuka Mtume Ametaja Kundi Litakalo Ingia Peponi Kuwa na Lile Litakalofata Uislam Na Mafundisho Yake Kwa Usahihi Kwamaana Ya Kuwafata na Mas'haba Wake Waongofu.
Kati ya hayo ni lipi?
 
Yesu ni Mungu aliyehai na rafiki wa karibu. Ameumba vyote unavyoona na usivyoona. Mungu huyu alivaa mwili ili kuwakomboa wanadamu.
Na akala bakora za adabu toka kwa viumbe wake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini wewe unaweka profile picha ambayo hujajifunika kichwa? Huo ndio uislamu?
Mimi nina asili ya upande wa pili [born and raised in conservative Christian family], bado naendelea kujifunza na kila siku nafundishwa.... naamini nitaendelea kuimarika kila kukicha na nitakuwa bora zaidi....

Natumai Mola Mlezi ataendelea kuniongoza mpaka ifikie niache hadi KUPIGA PICHA.... siku Apple, Samsung wataanza kutengeneza simu zisizo na CAMERA.....
 
Oh aisee, kipi kilikufanya ukauacha wokovu wa Yesu Kristo hadi ukaenda kuwa muislam?
 
Watu wa mnyaazi aka mola mlezi mbona mna hasira sana na mleta mada na hajataja dini yenu?
Si unaona mwingine kapiga mtu risasi saba kisa mapenzi wakati dini inaruhusu kutoa talaka na hata kuoa wanne?

Ni pepo wanaloabudu ndio linawacontrol.
 
Hii kubwa,
mtu aliyekuwa mwenyewe akimuomba Mungu ampe msaada, wewe wamwita MUNGU!
Yesu binadamu (kumbuka Yesu Kristo inamaanisha binadamu na Mungu katika mwili) alikuwa anamuomba Baba yake ambaye ni Mungu wa milele.

Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu mmoja.
 
Akiombewa kule aliko anapata faida gani? Ningependa kuzijua.
Mungu ni mkarimu sana, ukimuombea mtu mwema, basi faida inarudi kwako mwenyewe.
Unalipwa sawa na ulivyo muombea bila ya yeye kupunguziwa.
kumuombea mwenzako kheri ,unaanza kupata wewe kheri ile.
 
Mungu ni mkarimu sana, ukimuombea mtu mwema, basi faida inarudi kwako mwenyewe.
Unalipwa sawa na ulivyo muombea bila ya yeye kupunguziwa.
kumuombea mwenzako kheri ,unaanza kupata wewe kheri ile.
Sala inaenda namna hii hapa kwenye msikitini wa jirani. "Watukufu waislamu tumswalie mtume, allah akbar, tumuombee rehma kwa mwenyenzi mungu". Kwanini anaombewa rehema wakati ni kipenzi cha allah na tayari yupo ahera?
 
Kwani huja nielewa?
Sisi ndio wenye shida ya Rehema hizo zaidi na zaidi.
Okiomba na wewe unapata, ukiacha hupati kitu.
Kwa hiyo ni aina tuu ya fomula ya kiibada.
Kwani wewe ukiimba na kumuomba Mungu ampe Maria baraka unakuwa unakosea wapi, ?
Si unakuwa unajipendekeza tuu kwa Mungu ili akupende kwa kumtanja Mpenzi wake?
Mambo ndo hivyo.
 
Wakatoliki ndio walianzisha mecca na dini yake. Nyie mna muhammad na wao wana bikira maria. Katoliki sio kanisa na halijawahi kuwa kanisa la Yesu Kristo.
 
Kuombea mfu ni upagani, ni usheitwani!

YESU ndiye BWANA
Neno bwana, hlijui maana yake wewe, Bwana anaweza kuitwa mtu mzima yeyote, hata mimi ni bwana.

Hili ni neno la kiswahili cha kawaida kabisa, wala siyo la kidini.
 
Mark 9:40 Yeyote anayewakubali ninyi ananikubali mimi. Na yeyote anayenikubali anamkubali yule
aliyenituma.
Yohana 16:5“Sasa mimi ninakwenda kwake yeye aliyenituma, lakini hakuna hata aniulizaye, ‘Unakwenda wapi?
27kwa maana Baba mwenyewe anawapenda, kwa sababu mmenipenda mimi na mmeamini kwamba nimetoka kwa Mungu. 28Nilitoka kwa Baba na kuja ulimwenguni, sasa naondoka ulimwenguni na kurudi kwa Baba.”

Je weweChampionship wamjua aliyemtuma Yesu ni nani??
 
Back
Top Bottom