Kama Wakristu hawaondoani mapepo, kila siku basi una haki ya kuandika haya.Si unaona mwingine kapiga mtu risasi saba kisa mapenzi wakati dini inaruhusu kutoa talaka na hata kuoa wanne?
Ni pepo wanaloabudu ndio linawacontrol.
Wewe ndio umehusisha na dini yako. Wapo watu wengi tu wanaonekana makanisani lakini bado wanaabudu mapepo.Kama Wakristu hawaondoani mapepo, kila siku basi una haki ya kuandika haya.
Mtu alielelewa vizuri, hufundishwa kuishi na jamii nyingine vizuri, Siku hizi hizi mada za udini kuikashifu dini nyingine ni nyingi sana.
Hii kutokana na Ongezeko la watoto wa nje ya ndoa, na waliokataliwa na wanaodhaniwa kuwa ni Baba zao, na kukosa malezi mazuri.
Yesu alichukua hali ya ubinadamu na kujishusha kama aliyetumwa na baba yake. Yesu, ambaye ni Mungu Mwana, alikuja kutimiza mapenzi ya Baba yake. Mungu Baba Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu mmoja.Mark 9:40 Yeyote anayewakubali ninyi ananikubali mimi. Na yeyote anayenikubali anamkubali yule
aliyenituma.
Yohana 16:5“Sasa mimi ninakwenda kwake yeye aliyenituma, lakini hakuna hata aniulizaye, ‘Unakwenda wapi?
27kwa maana Baba mwenyewe anawapenda, kwa sababu mmenipenda mimi na mmeamini kwamba nimetoka kwa Mungu. 28Nilitoka kwa Baba na kuja ulimwenguni, sasa naondoka ulimwenguni na kurudi kwa Baba.”
Je weweChampionship wamjua aliyemtuma Yesu ni nani??
Sula la Muhammad (s.a.w) si saizi yako,Wakatoliki ndio walianzisha mecca na dini yake. Nyie mna muhammad na wao wana bikira maria. Katoliki sio kanisa na halijawahi kuwa kanisa la Yesu Kristo.
Muhammad ukimsoma Wikipedia ni bonge moja la jamaa mstaarabu ila dini yake aliyoanzisha imekuwa na changamoto sana duniani baada ya kuweka mafundisho ya violence.Sula la Muhammad (s.a.w) si saizi yako,
Huyu mtu ni kipenzichetu, mwalimu wetu, Mtu aliyeletwa kutufundisha kumjua MUNGU wa Kweli kupitia mafundisho yake Qur-an tukufu sisi Tunamuabudu Huyo MUNGU wa kwelina wa PEKEE bila ya kumshirikisha na wengine Uungu wake .
Muhammad kama yesualivyosema kwenye Yohana 17:3 Nao uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe uliye Mungu wa pekee, wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma. 4 Nimekutukuza wewe duniani kwa kuitimiza ile kazi uliyonipa niifanye.
ACHA KUWAKANA WENZAKOHapo umetaja dhehebu mona tu kijana, hayo mengine umetaja ni mapote na dini ambazo zinajinasibisha na Uislamu.
Madhehebu katila Uislamu ni haya :
1. Hanafiya
2. Malikiya
3. Shaafiiya
4. Hanbaliya
Mengine si maarufu na yalishapotea ambayo ni :
5. Thauriya
6. Zaydiya
7. Dhahiriya
Sasa najiuliza imekuwaje mpaka ukaweka makala nzima na hujui maana ya "Dhehebu" ni nini ? Huu ni ujinga ulio komaa mno. Yaani unaweka makala, ianonekana umecopy na ku paste humu, na huyo muandishi naye kichwa mchunga tu kama wewe, kwahiyo mmekutana nyote "Pipa na Mfuniko".
Kwahiyo hapo umetaja dini za watu wanao jinasibu na Uislamu na ukataja makundi ya kizushi yanye kufanya kufuru kama vile Masufi, Ahmadiya siyo Waislamu, Mashia kadhalika na ukataja mapote katika dini ya USHIA kama vile Ismailiya na mengine.
Kijana umapoamua kujadili imani za waungwana ujipange.Hapo umetaja dhehebu mona tu kijana, hayo mengine umetaja ni mapote na dini ambazo zinajinasibisha na Uislamu.
Madhehebu katila Uislamu ni haya :
1. Hanafiya
2. Malikiya
3. Shaafiiya
4. Hanbaliya
Mengine si maarufu na yalishapotea ambayo ni :
5. Thauriya
6. Zaydiya
7. Dhahiriya
Sasa najiuliza imekuwaje mpaka ukaweka makala nzima na hujui maana ya "Dhehebu" ni nini ? Huu ni ujinga ulio komaa mno. Yaani unaweka makala, ianonekana umecopy na ku paste humu, na huyo muandishi naye kichwa mchunga tu kama wewe, kwahiyo mmekutana nyote "Pipa na Mfuniko".
Kwahiyo hapo umetaja dini za watu wanao jinasibu na Uislamu na ukataja makundi ya kizushi yanye kufanya kufuru kama vile Masufi, Ahmadiya siyo Waislamu, Mashia kadhalika na ukataja mapote katika dini ya USHIA kama vile Ismailiya na mengine.
Umeshapewa jibu.Kati ya hayo ni lipi?
Hapa muongo ni wewe ambaye hujui maana ya Madhehebu. Nani amekwambia amekataa kwamba hakuma madhehebu ? Niliyo kutajia hapo ni vyama vya siasa ? Kijana ongeza umakini natumia kiswahi chepesi kuandika.ACHA KUWAKANA WENZAKO
UNATAKA KUDANGANYA UMMA KUWA UISLAMU HAUNA MADHEHEBU,
Haya unayasema wewe. Ila ukiweka makala kama hizi unatakiwa ukijue unachokoandika, yaani uwe umekisoma.UNATAKA KUDAI WA SUNNI NDIO WAPO SAHIHI ,ILA WENGINE HAWANA HATI MILIKI YA UISLAMU
Sijakuelewa umeandika nini ?Kijana umapoamua kujadili imani za waungwana ujipange.
Hayo majina ya viungo vya pilau za kiarabu vipi uyaite madhehebu ya waislamu?
Nani kakudanganya kuna waislamu wanaitwa shadhiria. [emoji23][emoji23]
Tatizo kubwa linalowasumbua wakristo wengi ni LUGHA YA KISWAHILI.Sala inaenda namna hii hapa kwenye msikitini wa jirani. "Watukufu waislamu tumswalie mtume, allah akbar, tumuombee rehma kwa mwenyenzi mungu". Kwanini anaombewa rehema wakati ni kipenzi cha allah na tayari yupo ahera?
KWAHIYO Uislamu wa SUNNI unaojifichia humo sio Dhehebu?Hapa muongo ni wewe ambaye hujui maana ya Madhehebu. Nani amekwambia amekataa kwamba hakuma madhehebu ? Niliyo kutajia hapo ni vyama vya siasa ? Kijana ongeza umakini natumia kiswahi chepesi kuandika.
Mimi nakupa kazi tena miaka kumi uje kututhibitishia ya kuwa Shia ni Waislamu na Ahmadiya ni Waislamu, ukiweza naacha kutumia hii
Haya unayasema wewe. Ila ukiweka makala kama hizi unatakiwa ukijue unachokoandika, yaani uwe umekisoma.
Makala yako nzima imeshindwa kutofautisha kati ya dhehebu na mapote yanayo jinasibisha na Uislamu, sasa kwa kukusaidia tu tafuta kitabu hiki ukisome :
Al-Adiyaan wa al firqah wal madh'hab al Muaswira (Dini, mapote na madhehebu za zama hizi) kilicho andikwa na Sheikh Abdul Qaadiri Shibatul Hamd (Allah amrehemu).
Kiswahili ndio lugha inayotumika Tanzania.Sijakuelewa umeandika nini ?
Nimecheka sana, kwanini unakuwa muongo, naona ume edit. Kwahiyo unakataa kwamba hapakuwa na dhehebu hilo ?Kiswahili ndio lugha inayotumika Tanzania.
Sasa km Kiswahili pia kinakupa shida mi ntawezaje kukuelewesha Kisai.
Labda upite tu kwa amani.
Hakuna dhehebu linalo itwa SUNNI katika Uislamu. Kwanini hamsomi ? Basi hata kuhoji hizo akili mnazitumia wapi ?KWAHIYO Uislamu wa SUNNI unaojifichia humo sio Dhehebu?
Mkuu kumbe upo? Mswalie mtume.Tatizo kubwa linalowasumbua wakristo wengi ni LUGHA YA KISWAHILI.
Hii lugha asili yake ni KIARABU.
Piga ua ukitaka kusoma au kuandika kiswahili lazima utumie maneno ya KIARABU.
Sasa nikikuuliza nini maana ya kumtakia REHMA mtu sijui jibu utakuwa nalo,?
Tatizo lingine ukienda kanisani mtoa mahubiri ili aheshimike lzm aongee KISWAHILI kwa Lahja (lafudhi) za kizungu japo anaongea kiswahili. Matokeo yake lugha yetu ya Kiswahili inawaponyoka kabisa.
Hii lugha msipojifunza lzm mkiskia harufu ya pilau mseme kuna majini. [emoji1].
Soma kiswahili championi. Wanao wasije kukosa faida mbele ya safari.
Umeshtuka kufahamu nipo sio.?Mkuu kumbe upo? Mswalie mtume.
Wewe unafikiri lipi linafata mafundisho sahihi?Umeshapewa jibu.
Ni lile litakalo fuata MAFUNDISHO SAHIH .
Au Ulitaka upewe Jina.
Unadhani maandazi hayo.
Mimi nashukuru kwa uchambuzi wako,Muhammad ukimsoma Wikipedia ni bonge moja la jamaa mstaarabu ila dini yake aliyoanzisha imekuwa na changamoto sana duniani baada ya kuweka mafundisho ya violence.
Kwasababu umetumia biblia tena kitabu cha Yohana, mimi nakupeleka sura ya kwanza:
1. Hapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2. Tangu mwanzo huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu.
3. Vitu vyote viliumbwa kwa yeye, wala pasipo yeye hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa.
4. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu.
5. Nuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda.
14. Neno akawa mwanadamu akaishi kati yetu akiwa amejaa utukufu na kweli. Tuliona utukufu wake, utukufu wa Mwana pekee wa Baba.