Wewe dini gani?Halafu hili la kusema Roho wa Baba yenu '' lina maanisha kuwa Huyu Baba si wa Yesu tuu pekeyake''
Kwa hiyo Huyu baba ambaye ndiye Mungu kwa mujibu wa Maandiko ni baba wa kila kiumbe kiwemo Yesu au siyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe dini gani?Halafu hili la kusema Roho wa Baba yenu '' lina maanisha kuwa Huyu Baba si wa Yesu tuu pekeyake''
Kwa hiyo Huyu baba ambaye ndiye Mungu kwa mujibu wa Maandiko ni baba wa kila kiumbe kiwemo Yesu au siyo?
Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu mmoja. Sasa kila mtu aliye ndani ya Kristo anakuwa mwili wa Kristo. Tafsiri sahihi zaidi ni kusema ukiwa ndani ya Kristo unakuwa ndani ya Mungu na unakuwa na urithi uleule wa Yesu. Ndio maana wakristo tunaomba kwa jina la Yesu.Halafu hili la kusema Roho wa Baba yenu '' lina maanisha kuwa Huyu Baba si wa Yesu tuu pekeyake''
Kwa hiyo Huyu baba ambaye ndiye Mungu kwa mujibu wa Maandiko ni baba wa kila kiumbe kiwemo Yesu au siyo?
Yn 20:22 Na alipokwisha kusema haya akawavuvia pumzi yake akawaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu
Dini ya yesu ndiyo dini yanguWewe dini gani?
Sas nimekuelewa,Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu mmoja. Sasa kila mtu aliye ndani ya Kristo anakuwa mwili wa Kristo. Tafsiri sahihi zaidi ni kusema ukiwa ndani ya Kristo unakuwa ndani ya Mungu na unakuwa na urithi uleule wa Yesu. Ndio maana wakristo tunaomba kwa jina la Yesu.
Ninapoenda mbele za Mungu kwa jina la Yesu basi Mungu hanioni mimi bali anamuona Mwana wake. Na hii sasa ndio neema maana mimi niliyekuwa na dhambi ninasamehewa na kusimama mbele za Mungu nikiwa na haki (utakatifu) ya(wa) Yesu.
Hivyo ni sahihi, Baba wa Yesu ndiye Baba wa kila aaminiye.
Yesu hana diniDini ya yesu ndiyo dini yangu
Yesu ni Mungu katika mwili, alikuja maalumu kwa ajili ya kuwakomboa wanadamu. Hii sio tu kwamba ni imani yangu bali ni ukweli halisi.Sas nimekuelewa,
kwa hiyo kwa mujibu a Imani yako, Mungu ndiyo Yesu na Yesu ndiye Mungu au siyo?
Yesu yupo katika biblia kwahiyo kama unamuamini ni lazima uamini yote yaliyoandikwa kuhusu yeye.Kaka Champion mimi nimelisikia neno la yesu, na nimemuamini aliyemtuma yesu.(Mungu) na kwa hiyo natarajia uzima wa milele.
Issue ya Allah kuwa mdanganyifu ni Koran nzima Allah anajisifu kudanganya, na kuwapoteza watuYesu ni Mungu katika mwili, alikuja maalumu kwa ajili ya kuwakomboa wanadamu. Hii sio tu kwamba ni imani yangu bali ni ukweli halisi.
Yesu yupo katika biblia kwahiyo kama unamuamini ni lazima uamini yote yaliyoandikwa kuhusu yeye.
Yesu sio Issa wa kwenye quran. Hii ni muhimu sana. Issa hakufa wala kufufuka. Allah aliwadanganya wayahudi kwa kuwawekea mtu anayefanana na Issa pale msalabani na bado anawalaumu kwa kuamini kwamba yule alikuwa Issa.
Yesu Kristo alikuwa Mungu katika mwili, akaishi maisha matakatifu, akasulubiwa zamani za pontio pilato, akafa, akazikwa, akashuka kuzimu na siku ya tatu akafufuka kutoka kwa wafu. Akapaa mbinguni, ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba mwenyenzi. Atakuja kuwahukumu wanadamu na kila anayeamini na kukiri basi anaokolewa.
Alaa, Kumbe kuna Mungu baba Mwenye Enzi,Akapaa mbinguni, ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba mwenyenzi.
mabo ya dini si vizuri kujadili imani za wa2, watakunyatia wakupige kung-fu ya usoMtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake.
Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa.
Mtume Petro naye alikumbusha kuombea huduma na alipomaliza aliwaambia waumini kwamba wakati umefika kwake kuondoka tena itakuwa kutundikwa juu ya msalaba kichwa kikiwa chini na miguu juu.
Hawa wote wawili walikuwa na furaha na kuondoka duniani kwa uhakika na ushindi. Walikuwa wakiwasisitiza waumini wafuate mfano wao.
Sasa nashangaa kuna nabii eti ni wa mwisho na ndio mkuu kwa wote lakini mpaka sasa anaombewa akiwa amefariki.
Alikwama wapi na nini kimemfanya yeye asiwe na uhakika wa kuingia mbinguni mpaka aendelee kuombewa?
Mungu mmoja tu, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Mungu Mwenyenzi. Ameketi katika kiti cha enzi.Alaa, Kumbe kuna Mungu baba Mwenye Enzi,
Sasa Nimekuelewa kuwa mwisho wa Confusion ya Utatu katika moja ni kuwa Yupo mungu Mwenyewe anayedhibiti mambo yote.
Good.
Nadhani Tumefika Pazuri.
Naomba uninkulie pale kwenye Qur-an Allah alipofanya udanganyifu.Issue ya Allah kuwa mdanganyifu ni Koran nzima Allah anajisifu kudanganya, na kuwapoteza watu
Yani alidanganya issa bandia alafu akakaa miaka takribani mia sita akaja kusema nilidanganya na yeyeto Alie amimi uongo wangu wa Isa ni motoni , nachekaga Sana , ukisoma Koran alie andika ni mjinga Sana tena lazima alikuwa hajui kusoma na kuandika alikuwa anasikiliza stori
Naomba uninkulie pale kwenye Qur-an Allah alipofanya udanganyifu.
Pls nipe No. ya sura na Aya
SOMA VIZURI NA KUELEWA ANDIKO
- Kuna iki kiumbe kinatwa issa , inasemekana walitamka kumuua ila Allah akatengeneza issa mwingine akauliwa
- Allah akatengeneza Issa mwingine ambae anafanana na Isa original ili Isa clone (cloning) asulubiwe
- Koran 4;157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu.
- Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially.
Umeandika gazeti point ya muhimu umeigichaSOMA VIZURI NA KUELEWA ANDIKO
155. Basi kwa sababu ya kuvunja kwao ahadi zao, na kuzikataa kwao ishara za Mwenyezi Mungu, na kuwauwa kwao Manabii bila ya haki, na kusema kwao: Nyoyo zetu zimefumbwa; bali Mwenyezi Mungu amezipiga muhuri kwa kufuru zao, basi hawaamini ila kidogo tu
157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.
158. Bali Mwenyezi Mungu alim- tukuza (alimnyanyua/alimpandisha mbinguni) kwake, na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
UCHAMBUZI:
155- Aya hii inaonesha tabia ya Mayahudi ya Kukanusha ishara za Mungu na Kuwauwa Manabii Mfano Yohana,na Zakaria na pia Baadhi ya wanafunzi wa Yesu. Kwa hiyo Mungu anatambua Tabia yao hiyo.
157- Pamoja na kuwa anauwa Manabii, Illa hili Mungu Kalikanusha kwa kuwa Yesu Hawakufanikiwa kumuuwa.Bali Mungu alimkinga na Kikombe Hiki kama alivyoomba.
-Neno walifananishiwa lina fumbo ndani yake, yawezakuwa walioneshwa machonimwao kuwa amekufa ilihali hakufa. Lakini pia Hawakumsulubu ,japo machoni pao walioneshwa Kuwa wamemsulubu Au Walifananishiwa Mtu mwingine badala yake yesu na kuandikwa msalabani wakiamini kuwa ni Yesu.
Hapa wafasiri aya hii wametafautiana na kukubaliana kuwa Mungu ametufumba ,Siri yake anajua Mwenyewe Kwake yote yawezekana sisi tunaamini Neno lake kuwa ni kweli tuu. Na hakuna sababu kwa nini awachie wale wauwawe lakini huyu amuokowe ila ni Matakwa yake Mungu na Hekima yake.
Alifanya haya ili kuwapima Viumbe wake imani na utiifu na ukkweli wao dhidi ya Uzushi wa Kiyahudu wa kupinduwa maneno ya Mngu na kuwapoteza watu.
Wakiristo ki ukweli wamepotezwa kwa itikadi na mayahudi Hizi:-
Mafundisho haya yote simafundisho ya Yesu mwenyewe,bali Kuna waandishi waliomchomekea na kupoteza Uma wa watu.
- Kuwa eti Kufa Kwa yesu ndio ili wao waokolewe kwa damu yake.
- Mslaba ambaoni kifo chake ni laana kwa mujibu wa Torati ,kimegeuzwa kuwa kifo kitakatifu
- Imani tuu inatosha kupata uzima wa milele bila matendo wala sheria.
- Bali Kumfanya Yesu kuwa ni Mungu mwenyewe au Mtoto wa Mungu.
Ndio maana Mungu katika Qur-an akafafanua chamzo cha itikadi hii. Na ndiyo maana ni Yesu pekee atakayerudi Duniani ili kuja kukanusha uzushi aliyozuliwa na Mayahudi..
SmaInjili ya Luka kifungu cha kwanza 1-80.Hapa sijaona jibu la hoja niliyoileta.
SmaInjili ya Luka kifungu cha kwanza 1-80.Hapa sijaona jibu la hoja niliyoileta.
Allah alidanganya kwa kufanya kiini macho au alimuweka mtu mwingine? Ilichukua mda Gani mpaka Allah akaja kusema alicho kifanya?SmaInjili ya Luka kifungu cha kwanza 1-80.
Utaona mlinganyo wa Hizo aya za Qur-an. Na utajua kuwa Mungu ndiyemuwezeshaji wa Matokeo yote, Huwa Hadanganyi ila kwa watu waovu ndiyo huwafanyia Shere na Kejeli au Hila kwa kule kupinga kwao Neema ya Mungu na Miujiza.